mkuu miaka 30 na binti 25....kazi nzuri na kipato kizuri tu kwa kufanyia fujo kitaa...haya mwaga ushauri wako sasa....Natamani kutoa ushauri ila sijui kwanini natamani kuuliza umri wako na kazi uifanyayo mkuu. Nahisi kuna uhusiano.
Hata hivyo, nikushauri ushauri general, acha zinaa!!!!