Nimuache au nimsubiri

Nimuache au nimsubiri

Hakufai kama ni kweli uliomba msamaha akakubali hajasamehe ni mnafiki atakughalimu siku za usoni kama atakuwa mke hana roho ya kusamehe na kusahau huyo
 
Hakuna mapenz ya dhati ya hivyoo... Yaan break for 2weeks kila sehem blocks...hahahaha mapenz ya kiboya... Kakuchukulia we boya... Me angekuwa kasharambwa makofi na kuachwa juu...
Akili za gizan hizo...
Amka mzee wanawake wamejaa
 
Hi!
Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa mwaka na miezi nane sasa..To be honest nampenda sana...miezi mitatu iliyopita tulitokea kutokuelewana kati yangu na yeye baada ya yey kukuta sms nilizokuwa nachart na binti mwingine...tulikaa chini tukasolve,nikaomba msamaha ni kama everything become normal,nasema ni kama kwasababu hakuwa ka before baada ya kunisamehe...nikachukulia poa labda bado ana hasira na kilichotokea but maisha yakawa yanaendelea..tunaenda date,tuanaingea kawaida but kila nikitaka kudo nae anakuwa na sababu ya kuwa hayuko tayari ni keep wait coz kilichotokea eti kimemfanya hasiwe comfortable na mie but ananipenda sana so nisubiri tu soon atakuwa normal na.kurudi kama zamani...mwanaume nikasema poa ntasubiri coz nampenda..basi tukawa normal tu..anataka hichi nampa ,tunaenda date, tunacheka, tunafanya romance kidogo hata kama sio kihivyoo ilimladi tu niwait...juzi kati nikamwambia ya kuwa nammiss sana na kila nikiwa nae natamani tudo coz ni miezi miwili sasa hatujado but sio kwamba nataka leo ila nataka ajue tu hilo!
Akaniambia nisiofu yeye ni wangu soon mwezi huu takuwa okey so nitaenjoy....juzi kati kuna issue alikuwa anahitaji akaniomba na mimi bila hiana nikampa chambi ya kununulia hiyo issue..akasema asante ..
Jioni yake ananiambia anataka kuongea na mie kitu muhimu sana nikamwambia poa niamboee..akaniambia anajisikia vibaya sana kwamba kila kitu nachotaka nampa but yey anipi ninachotaka..nikamwambia unaana gani coz me i do so coz nakupenda sio ya sex..akaniambia hata kama bado anajisikia vibaya tu coz nanipenda but ikija swala la sex ajisikii sijui.kwnini...so ameomba ushauri kwa baadhi ya marafiki zake na ameona labda kanizoea sana na kaniona wa kawaida so naomba tuchukue break kama week mbili au mwezi bila.mawasiliaona yeyote baada ya hapo tumeet then to do afu tuone itakavyokuwa...nilishtuka sana nikamwambia unauhakika na huo ushauri wa.rafiki zako na je sio kwamba unataka kubreak up.na.mie?
akasema no siwezi coz nakupenda sana...
Mie nikamwambia kama unataka kubreak up na mie be open coz nakupenda lakini siwezi kukung'ang'ania...akasema sio hivyo basi tufnye week najua itakuwa ngumu but itanisaidiaaa....
Wakuu leo ni siku ya tatu kimya..no mawasiliaono na yeye...na tulikuwbaliana aniblock kila mahali ili nisimaccess kabisa kama anataka huo mpango wake uweze kufanya kazi na akafanya huvyoo.Moyo unaniambia niachane naye coz siamini katika hili jambo nahisi kama anatafuta corage ya kuniacha au kapata mwingine!
Ushauri wenu please na poleni na andiko lefuuu nimeshindwa kufupishaa...
N.B-ID mpya but mie mkongwe humuuu
Kama unamuamini na unampenda kweli mpe mda atajirudi tuu huyo
 
Say NO to political, social and mental slavery in Tanganyika.
 
kiaje mkuu? fafanua please!
Katika maelezo yako Muda mwingi umesema unamtoa pesa, n.k yeye anakupa papuchi.
Kwani hawa mademu wa kibongo hamuwezi kuwa nao katika uhusiano bila kuwalipa hela?
 
Sawa, andiko refu; ila ujifunze kuandika basi!
 
Vumilia wiki iishe naikishaisha hiyo wiki wewe piga kimya mpaka akuanze yeye ukiona yupo kimya nayeye jiongezee wiki 1 nyingine yamatumaini nayenyewe ikiisha jipe siku 3 au 4 napo ukiona kimya piga chini madem wapo wengi ila wanawake wachache sana
 
Wamejaa mbuzi au atapata mbovu Zaid yake
Huyo mwanamke atakua na jamaa wa pembeni, sidhani kama mwanamke anayempenda mwandani wake akaweza kuwa na ujasiri kiasi hiko.
Angekua ni mchumba/mke angepata ushauri wenye busara zaidi..ila kwa kuwa na hawa tunaokutana nao kwenye daladala tu ukung'unte vumbi maisha yasonge haina haja ya kudanganywa na kupoteza mda.
 
Umeyatafuta mwenyew moyo wa m'mke ndio ulivyo, atakudanganya kakusamehe lkn moyon alama ya kovu haipotei milele.. Muache afanye anachojickia mpe muda anaotaka atakutafuta tu mwenyew usiwe na presha nae. Anakupenda hata yeye ila tu moyo wake unakuwa mzito kwako..
 
Ujue kuna kitu kimoja ambacho sisi wakiumeni tunashindwa kukifaham juu ya psychology ya watoto wa kike, na mwisho wa siku emotional feelings zinakuja kutucontrol tunatoka kwenye uhalisia wa kiuanaume,... ivi ni kweli mtu akute sms za kuchat na mwanamke then akupe rikizo na kudai kuwa hayuko sawa ku do na ww coz of such tiny thing? Sasa kama feelings zake zimekata kwako bado unasema kuna love hapo? Why don't you think beyond the box?
Hapa ndipo mnapokosea wanaume wengi..
Eti because of such a tiny thing..

Ushauri kwa mleta mada, kudanganywa ni feeling mbaya sana mkuu, emb subiri baada ya hiyo wiki moja. Ila ujiandae kwa lolote.
 
Mwanamke akishajua unamcheat kakuta na msg yanii kurudisha moyo labda kama alikuwa hakupendi alitaka iwe kiselaa tuu.. huyo akirudii ni kwa ajilii ya pesaa tuu ilaa kukuvulia ch..u..p sijuiii... Afuu anamoy wa huruma anajisikia vibayaa kulaa pesaa tu bila kukupa nyau daah..
 
Piga chini vuta mzigo mpya mkuu!
Why stresses/depressions wakati wamejaa kibao tu.??
Mkuu kirahisi hivyo?ukipenda na ukaweka malengo na mtu ni ngumu hilo jambo.waweza fanikiwa ushinda moyo ili umuache lkn malengo mengine yakawa in progress ukabaki dilemma
 
Mkuu unanikumbusha ule wimbo wa Banana zoro wenye lyrics zake hizi "kama ni mapenzi honey basi yalikuwa zamani",kausikilize huu wimbo vizuri,kwa ufupi tu ushaachwa,hakuna mapenzi tena hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom