NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,665
Mkuu kwa Maelezo ya jamaa ni kwamba tayari mwanamke anakitu ameshakiweka moyoni mwake toka alipoikuta ile SMS, angekua ni mtu mwenye kusamehe na kusahau wangeendelea na maisha mengine na si kukaa na kitu moyoni. Hapo mwanamke hatakuja kumwamini huyu jamaa hata iweje zaidi zaidi yeye (mwanaume) atakua ana feel guilty mda mwingi na penzi la dhati hakuna tena.Mkuu kirahisi hivyo?ukipenda na ukaweka malengo na mtu ni ngumu hilo jambo.waweza fanikiwa ushinda moyo ili umuache lkn malengo mengine yakawa in progress ukabaki dilemma