Nimsubiri au niendelee na maisha yangu?

Nimsubiri au niendelee na maisha yangu?

Andika maumivu.

Upendo wake kwako umekufa, no one can stay indifferent at their loved one for three months, tena huku jamaa unaomba msamaha. Kwani ulimkosea nini?

Hapo kwakweli just move on with your life, you tried your best to make it work again, lakini mwenzako harudishi effort zako. Utajitesa!
Thats right mchiz a move on. Aacha kupoteza muda kwa huyo dada.. love imeshakufa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cut her off brother. I know unampenda but do be a doormat. Right now huyo manz ana enjoy sana unavyo mfuata na misamaha mingi, anajiona yeye ndio yeye.

Nyamaza kaa kimya usimtext, usimpigie, endelea na maisha yako ww kama ww. Kama atakuja sawa asipo kuja powa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks I appreciate [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini mko poa wadau my story is nimekua kwenye uhusiano nae zaidi ya mwaka sasa , kipindi chote hicho tumekua tukifurahia mahusiano yetu full of promises kiukweli sikuwahi kufurahia mahusiano kama nilivyo furahia kwa huyu, kulitokea misunderstanding ambayo mimi ndio sababu though I never meant to hurt her.

Ikapelekea anikasilikie mpaka kakata mawasiliano nimejalibu kumwomba msamaha but hajibu kitu nimefanya hivyo karibu two months coz I love her and I know me ndo mkosaji after time kaja kunijibu kua I should be patient nimpe mda from there we keep chatting though when I say I miss you hajibu kitu ana change topic , nikimwomba tuonane somewhere to talk she say nothing but she keep saying kua mvumilivu nipe muda 3month now !! So guys what should I do?! Mi sio mwandishi mzuri naombeni ushauri sio povuu...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo inabidi uwe mjanja, mtoto anakuelewa ila kuna mtu ka kuingilia mzee baba. Mie ilikua hivyo kitambo mtoto nikimuambia love au miss you hataki ku respond na hadi aka niambia nimechelew, ila nilivyo kua mafia sikujali nika ignore nikatengeza tatizo akajaa line nika mvuta hadi home, nika force nikala mzigo tokea hapo akarudi .... ingawa ilikua vita kumvua pichu, ilibidi hadi roba zihusike na mabavu, baada ya kuchoka huku akilia ikabidi aku bali tu.... usikate tamaa hapo kuna fala mmoja kakuingilia pambana umtoe, toto bado lako hilo, usitishwe na majibu yake
 
Hapo inabidi uwe mjanja, mtoto anakuelewa ila kuna mtu ka kuingilia mzee baba. Mie ilikua hivyo kitambo mtoto nikimuambia love au miss you hataki ku respond na hadi aka niambia nimechelew, ila nilivyo kua mafia sikujali nika ignore nikatengeza tatizo akajaa line nika mvuta hadi home, nika force nikala mzigo tokea hapo akarudi .... ingawa ilikua vita kumvua pichu, ilibidi hadi roba zihusike na mabavu, baada ya kuchoka huku akilia ikabidi aku bali tu.... usikate tamaa hapo kuna **** mmoja kakuingilia pambana umtoe, toto bado lako hilo, usitishwe na majibu yake
Hii mbinu ya kijasusi huwa inaniacha hoi sana. Wahuni sio watu ingia geto ujute!
 
Ameshakutema huyo, we endelea tu na mishe zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaid kuna time ananiaminisha kama still ananipenda coz kuna siku kanitumia pic ya dem flan kaanza kuwaka oooh huyu ndo unatoka nae maneno kibao nawakati huo hata dem mwenyew simjui ikafika time nikampa uhuru aseme anacho kiwaza ntaheshim mawazo yake na hisia zake lakini hasemi kitu ... Hapo nashindwa kumwelewa kabsaa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inabidi uwe mjanja, mtoto anakuelewa ila kuna mtu ka kuingilia mzee baba. Mie ilikua hivyo kitambo mtoto nikimuambia love au miss you hataki ku respond na hadi aka niambia nimechelew, ila nilivyo kua mafia sikujali nika ignore nikatengeza tatizo akajaa line nika mvuta hadi home, nika force nikala mzigo tokea hapo akarudi .... ingawa ilikua vita kumvua pichu, ilibidi hadi roba zihusike na mabavu, baada ya kuchoka huku akilia ikabidi aku bali tu.... usikate tamaa hapo kuna **** mmoja kakuingilia pambana umtoe, toto bado lako hilo, usitishwe na majibu yake
Nishaa mpa uhuru nikamwambia sema chochote kama hutaki tuendelee na mahusiano jus feel free but she remain silence...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ninavyowajua wanawake inawezekana yeye ndio chanzo cha wewe kumkosea. Kama umekiri makosa na kumuomba samahani, ila bado kakaza uzi, aisee chana nae!
 
Umeachwa mkuu demu kama anakupenda atakama kosa ulifanya ww atakuomba msamaha apo wala ucjisumbue anagawa papuchi kwingine uko....endelea kusubiri mtumbwi airport utakuja shtuka ana mimba tyari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eyoo Kimbia, Kimbia Fasta. Ukianguka ukiumia, toka nduki vumilia wee Kimbiaaaaaa..........
KIMBIA FASTA TOKA NDUKI WEE KIMBIA...

UKIANGUKA UKIUMIA, INUKA VUMILIA...

Ukiona VICHECHE vinakumendea, KIMBIA...

Usije ukapewa KESI ya BABU SEYA, KIMBIA...

Maana hata VIRUSI watakuletea...

Ni bora KUKIMBIA kabla mambo hayajatokea, KIMBIA...
 
ilishawahi kunitokea hii na nlitumia zaidi ya huo mda kuomba msamaha, mwishowe ilinibidi nimove on japo on the 1st year bado nlikuwa namuwaza yeye tu. Eventually it all came to pass. Kwa hyo ningekushauri tu umove on maana wanawake wengi hawana guts za kkuambia its over hivyo hyo ni kama njia mbadala kwani huenda yupo kwenye mahusiano mengine na amekuweka kama backup in case things go wrong.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom