Natumaini mko poa wadau my story is nimekua kwenye uhusiano nae zaidi ya mwaka sasa , kipindi chote hicho tumekua tukifurahia mahusiano yetu full of promises kiukweli sikuwahi kufurahia mahusiano kama nilivyo furahia kwa huyu, kulitokea misunderstanding ambayo mimi ndio sababu though I never meant to hurt her.
Ikapelekea anikasilikie mpaka kakata mawasiliano nimejalibu kumwomba msamaha but hajibu kitu nimefanya hivyo karibu two months coz I love her and I know me ndo mkosaji after time kaja kunijibu kua I should be patient nimpe mda from there we keep chatting though when I say I miss you hajibu kitu ana change topic , nikimwomba tuonane somewhere to talk she say nothing but she keep saying kua mvumilivu nipe muda 3month now !! So guys what should I do?! Mi sio mwandishi mzuri naombeni ushauri sio povuu...
Sent using Jamii Forums mobile app