Nimrod Mkono:Nimechukuliwa mali zangu ila nashukuru, TRA wangeweza kunifunga

  • Thread starter chinchilla coat
  • Start date

chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
3,703
Likes
7,235
Points
280
chinchilla coat

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
3,703 7,235 280

Nimrod Mkono ameunga mkono kitendo cha TRA kuchukua mali zake na kufunga ofisi yake na kusema kila mtu anatakiwa kulipa kodi bila kujalisha yeye ni nani
Amsema amefurahi sana kwa TRA kufanya ustaarabu na kwenda na kufanya ukaguzi na wangeweza kumfunga
 
Ze General

Ze General

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Messages
1,354
Likes
987
Points
280
Age
25
Ze General

Ze General

JF-Expert Member
Joined May 10, 2014
1,354 987 280
Atuambie ni kwann hakulipa kodi kwa mda huo wote mpaka inafikia kias hicho 1bln.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
29,926
Likes
37,207
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
29,926 37,207 280
Atuambie ni kwann hakulipa kodi kwa mda huo wote mpaka inafikia kias hicho 1bln.
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
 
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Messages
3,737
Likes
4,689
Points
280
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2011
3,737 4,689 280

mkuu mbona hakuna uhusiano.
wewe kuokulipa kodi kunauhusiano gani na kuidai serikali.
 
J

jamiiyamtimkavu

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
274
Likes
189
Points
60
J

jamiiyamtimkavu

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
274 189 60
Tumikia kafiri akupe mtaji...Mengine yanafuata, nadhani Mkono kaliweka hilo mbele.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
29,926
Likes
37,207
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
29,926 37,207 280
mkuu mbona hakuna uhusiano.
wewe kuokulipa kodi kunauhusiano gani na kuidai serikali.
Swali lako ni sawa na kuuliza kati ya Kuku na Yai kipi kilianza? Itafakari hii kwa umakini kisha " jiongeze ".
 
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Messages
3,737
Likes
4,689
Points
280
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2011
3,737 4,689 280
Swali lako ni sawa na kuuliza kati ya Kuku na Yai kipi kilianza? Itafakari hii kwa umakini kisha " jiongeze ".
umeelewa. sheria kwanza huruma baadae. hakuna uhusiano wa deni na kodi. Ila kwa maana ya upenzi kwa mbuge uko sawa 100%
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
29,926
Likes
37,207
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
29,926 37,207 280
umeelewa. sheria kwanza huruma baadae. hakuna uhusiano wa deni na kodi. Ila kwa maana ya upenzi kwa mbuge uko sawa 100%
Upo jimbo gani Mkuu huko Marekani? Naona umeshaamka sasa na umeamua kuanza siku yako kwa " kupopomika " tu humu.
 
lusanje

lusanje

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
312
Likes
66
Points
45
lusanje

lusanje

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2013
312 66 45
mkuu mbona hakuna uhusiano.
wewe kuokulipa kodi kunauhusiano gani na kuidai serikali.
Uhusiano upo tena mkubwa tu kodi anayodaiwa inatokana na deni kubwa ambalo serikali haijamlipa na ukumbuke TRA ni serikali
 
D

Descartes

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
2,769
Likes
1,166
Points
280
D

Descartes

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
2,769 1,166 280
Anachosha kumsikiliza anavyo ongea...
 
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Messages
3,737
Likes
4,689
Points
280
MSEZA MKULU

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2011
3,737 4,689 280
Uhusiano upo tena mkubwa tu kodi anayodaiwa inatokana na deni kubwa ambalo serikali haijamlipa na ukumbuke TRA ni serikali
hiyo sio excuse ya kutokulipa kodi, hata yeye anahamasisha lazima kodi ilipwe.
kama mambo ya kudaiana wakae wao waone wanalipana vipi.
 
K

Kwameh

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Messages
1,012
Likes
733
Points
280
Age
38
K

Kwameh

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2011
1,012 733 280
Nimrod Mkono ameunga mkono kitendo cha TRA kuchukua mali zake
Wanasema wanamdai bilioni, sasa wamechukua mali gani kufidia bilioni, furniture za ofisi?

Sioni aliposema wamechukua mali zake.
 
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Messages
6,787
Likes
1,596
Points
280
gwijimimi

gwijimimi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2011
6,787 1,596 280
Hehehe kazi ipo
 
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,140
Likes
1,145
Points
280
babu M

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,140 1,145 280
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Ningependa kujua alikuwa analipwa kiasi gani kwa saa.
 
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Mwetu olahezela?
 
B

Bura awet

Member
Joined
May 14, 2016
Messages
17
Likes
6
Points
5
B

Bura awet

Member
Joined May 14, 2016
17 6 5
Jamani hiyo mzee ana kampuni. Na akifanya kazi ya serikali inabidi alipwe ili aweze kulipa wafanyakazi, kula na kulipa kodi. Ka hakalipwa B saba atawezaje kulipa kodi ya B moja? Unawezaje kusema hakuna uhusiano kati ya deni na kodi? Serikali pia iwe inalipa madeni yake.Sometimes I doubt if we are really making making genuine comments!
 
Kifaurongo

Kifaurongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2010
Messages
2,911
Likes
961
Points
280
Kifaurongo

Kifaurongo

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2010
2,911 961 280
Jamani hiyo mzee ana kampuni. Na akifanya kazi ya serikali inabidi alipwe ili aweze kulipa wafanyakazi, kula na kulipa kodi. Ka hakalipwa B saba atawezaje kulipa kodi ya B moja? Unawezaje kusema hakuna uhusiano kati ya deni na kodi? Serikali pia iwe inalipa madeni yake.Sometimes I doubt if we are really making making genuine comments!
Kila malipo yana kodi yake, inalipwa mara tu baada ya transaction kufanyika. Hata hilo deni analodai serikali lina kodi yake. Huwezi kupokea pesa ukaahirisha kullipa kodi sababu unadeni halijalipwa na mtu fulani. mlipakodi unalipa kwa ulichopokea.
 
A

artch2311

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Messages
596
Likes
266
Points
80
Age
42
A

artch2311

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2016
596 266 80
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Naamini kudaiana na kodi hakuna nasaba...
Assume kwamba ananidai mimi, unafikiri ataiambia TRA mimi silipi au sijalipa kwa sababu namdau Art123..???
 
Forum statistics

Threads 1,235,977
Members 474,928
Posts 29,242,380