Nimrod Mkono:Nimechukuliwa mali zangu ila nashukuru, TRA wangeweza kunifunga

Atuambie ni kwann hakulipa kodi kwa mda huo wote mpaka inafikia kias hicho 1bln.

Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
 
mkuu mbona hakuna uhusiano.
wewe kuokulipa kodi kunauhusiano gani na kuidai serikali.
 
Uhusiano upo tena mkubwa tu kodi anayodaiwa inatokana na deni kubwa ambalo serikali haijamlipa na ukumbuke TRA ni serikali
hiyo sio excuse ya kutokulipa kodi, hata yeye anahamasisha lazima kodi ilipwe.
kama mambo ya kudaiana wakae wao waone wanalipana vipi.
 
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Ningependa kujua alikuwa analipwa kiasi gani kwa saa.
 
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Mwetu olahezela?
 
Jamani hiyo mzee ana kampuni. Na akifanya kazi ya serikali inabidi alipwe ili aweze kulipa wafanyakazi, kula na kulipa kodi. Ka hakalipwa B saba atawezaje kulipa kodi ya B moja? Unawezaje kusema hakuna uhusiano kati ya deni na kodi? Serikali pia iwe inalipa madeni yake.Sometimes I doubt if we are really making making genuine comments!
 
Kila malipo yana kodi yake, inalipwa mara tu baada ya transaction kufanyika. Hata hilo deni analodai serikali lina kodi yake. Huwezi kupokea pesa ukaahirisha kullipa kodi sababu unadeni halijalipwa na mtu fulani. mlipakodi unalipa kwa ulichopokea.
 
Na Wewe tusaidie kutuulizia kwa hao anaowadai Bilioni 2 huko Visiwani kwa hawa wa Bara Bilioni 7 kwanini mpaka leo hilo deni la Bilioni 9 " total " hawajamlipa Mzee wa Watu? Mbunge wangu Mzee Mkono " tata " hakika amedhihirisha hekima, utu na busara za hali ya juu tulizobarikiwa nazo Wazanaki ambazo ni nadra sana kuzikuta sehemu zingine.
Naamini kudaiana na kodi hakuna nasaba...
Assume kwamba ananidai mimi, unafikiri ataiambia TRA mimi silipi au sijalipa kwa sababu namdau Art123..???
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom