jamani mi naona sifikiriwi hapa! nyani ngabu unanishauri ninyonye 'koni' ndiyo nini hiyo mzee?
swala kubwa mume huyu ni kutoka kwa makabila yale ya' amri amri' kule kuzunguka ziwa maarufu hapa kwetu Tz, kitu ambacho nafikiria kinachangia na kutonijali mimi kwamba nahitaji kuridhishwa pia.
Kufanya mambo ya chumbani ni kama chakula hakuna lingine analowaza, hajali nimechoka wala niko kwenye hedhi.. angekuwa basi ananirusha roho kwa kachumbari nisingenungunika. Kwa upande wangu hata hayo niliyofundishwa kwenye kichen-party nashindwa kupractise kwake, kwani inapofika muda narukiwa kama mzoga. Akisha mwagilia na siku ndiyo imetoka hiyo.
Wakati mwingine natamani nimuulize kama alipobarehe alifundishwa jinsi ya kumridhisha mwanamke, ila naogopa kufanya hivyo.
NN, Umesema kweli tupu ndoa zinataka uvumilivu wa hali ya juu. Na hata mnapogambana na kuanza kurushiana maneno inabidi uwe muangalifu mno katika kuchagua maneno yako au unaweza kuleta kasoro kubwa sana ndani ya ndoa yenu kutokana na maneno hayo ambayo itadumu kwa miaka mingi.
Hebu fikiria Bubu, wewe na mwenzako mnagombana mnaanza kuapandishiana halafu in the heat of the argument unamwita mwenzako "ugly"....I'm telling you she'll remember that for as long as she can halafu hataacha kujiuliza kama ni mbaya kwa nini ulimuoa....
jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.

We are mean because of you.But some of you women can be mean too....
We are mean because of you.
mbadilishie mtandao tuu ataacha kukubeep, mtandao mzuri wenye network nzuri na inayoaminika na wengi mujini ni "Tigo".mpatie huo atapoa tu na hata ukiwa kwenye siku zako apana shaka mtandao wa tigo ndio wenyewe.Kitu kitamu unakula na mpenzio.
be able to performing two tasks on each interface.... Mpe ndogo atatulia mwenyewe..!
k kama unaona hakuridhishi mwambie plz tufanye hivi na vile, umsaidie/msaidiane sio kutishiana kwenda nje,
Ndo maana mimi wewe Nyamayao iwa nakupenda sana.
Ndo maana mimi nimemwambia ajaribu kujiexpress naona utakuwa ndo ugonjwa wa mzee labda anaogopa tu kumwambia si amwonjeshe tu alafu askilizie.
Ndo maana mimi wewe Nyamayao nakupenda