Stamina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,029
- 561
Mkuu Loyalist achana kubishana na huyo mfuta vumbi.Acha kuzunguka mkuu, sio wewe. Uliyesema hakuna mtu anayefanyakazi muhimbili bila kuwa na background ya afya?! Huu ni uongo, wako wengi tu hawana background yoyote kwenye medical, nimekuwa nafanyakazi mradi wenye mahusiano na muhimbili kwa zaidi ya miaka 5 , nimeingia pale almost kila week mara 2 au tatu randomly,
Sijui kiwango chako cha elimu na ufahamu , japo Nina doubtful nacho, wapi nimesema naijua muhimbili yote na tiss yote?! Mbona unaanza kuleta maneno yakwenye taarabu. Wewe ni mshamba huna ukijuacho ni taburasala.
Jamaa anakera sana, hakuna hoja yoyote anayoandika zaidi ya ubishi. Mpotezee tu,