Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
we umejuaje haya??Kweli baadhi yao vidume
we umejuaje haya??Kweli baadhi yao vidume
Na Mimi nitajakusahau kwenye ufalme wanguNimeamini uchawi upo
Hivi nilikusahau je??


Sasa unataka mwanaume legelege wa kazi gani, yani unataka kuolewa na mwanamke mwenzako?
HAYA MANENO YAKO SIYAPENDI NI MACHAFU ONGEA VIZURI UPATE MLO WAKILA SIKU UNANITUSI HALAFU UNANIAMBIA MANENO MAZURI KISA SITAKI WALA HAYO MANENO YAKO .NI HIVI BRO HUNA ADABU SISI SIO WATOTO WENZAKO SISI NI WATU WAZIMA .


Hivi unatutaka nini sisi mashabiki wa vyura fc?Sija ona ata mmoja .emu weka na sub View attachment 1123300
Wengine wake za watu mkuu..Kuwa makiniWana mmu nimpende nani humu???
Mzigua90 maa mwenye ma iq yake makubwa
Shunie mrembo mwenye mbwembwe zake
Sakayo mwenye maringo yake
joanah mwenye majibu yake
cute b mwenye misemo yake
ledada
kapeace
Demiss
zeshchriss
Atoto
manengelo
dark angel
Daaaa ni wengi sana sijui hata nianzie wapi kupenda na sitaki kuacha hata mmoja


Ndio warusha maji hao wapo poa sana
Chiu zao mtibwa sana
Unajiona kweli wewe huna lolote chali wa ara nyambafu wewe kwani hataleo umekula nini kazi kujisifu unanjaa ya kimwili na kitumbo mtu ukimwote anakufa tu.Endelea kuota
Umekula mchana kweli? Usije ukatudondokea njaa humu
Wewe ni cha wote meaning unagongea wanawake za wenzako.Unakosa mambo mazuri sana
Sawa mkuu ila kwa vile mambo mazuri hayataki haraka ngoja niwe mpole kwanza kama nyoka wa kibisa nakula unga nalala.Unakosa mambo mazuri sana