Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,014
- 2,915
Asante mkuu
Asante sana
Sijui umejuaje mm ni mmama , hakuna shida
Ubarikiwe

Asante mkuu
Asante sana
Sijui umejuaje mm ni mmama , hakuna shida
Ubarikiwe

Ila kuna watu wana stress jamani woiiii napita tu mm
Mkuu ila mm ujue ni dume la mbegu
madam umekuwaje tena?Wana mmu nimpende nani humu???
Mzigua90 maa mwenye ma iq yake makubwa
Shunie mrembo mwenye mbwembwe zake
Sakayo mwenye maringo yake
joanah mwenye majibu yake
cute b mwenye misemo yake
ledada
kapeace
Demiss
zeshchriss
Atoto
manengelo
dark angel
Daaaa ni wengi sana sijui hata nianzie wapi kupenda na sitaki kuacha hata mmoja



