Nani anakutaka mimi sikutaki wala hujawahi kuniona nakutaka siwataki watu wasioonekana labda wewe ni jini.
Siwezi date na mtu mdomo umeoza kabisa hata uoshe nanini hautonukia .
Wewe ni mvutaji bangi .
Wewe ni wale ambao mnawapiga wadada
Wewe ni mtu ambaye unawanyanyasa wadada wewe ni mtu ambaye hata dada zako wakikuona wanakukimbia wewe ni mtu ambaye hata mama yako anakuogopa kukuo gelesha au chochote .
Wewe ni mwanaume ambaye kijiji kinakuogopa hata wewe ni mwanaume ambaye unaogopeka duniani.
Sasa hadi mimi sikuogopi tuopeane vidonge tu mpaka mwisho.