skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,386
Hukumuelewa Ila samahani naomba nimsaidie yeye alikuwa anampa mwenzake taaria kuwa katoto kazuri ni binti ilitokana na kuwa mwenzake aliwataja kuwa ninyi ni vidume,, ndo akamkanusha na kumpa taarifa kuwa wewe ni binti na mwisho akanogesha Kwa kumuita Mzee baba huyo mpewa taarifa Ila kwakuwa aliunganisha ndiyo ukaona kama kakuita binti Mzee,, hivyo ndivyo ilikuwa maana yake hakuwa na lengo la kukuchafua,, samehe saba Mara sabini
Nimechoka humu mnadharau wanawake sipendi kama umeniona mzee kwani mimi napenda kuolewa na nyie vitoto mimi napenda kuolewa na watu walioenda umri