MKUU BAJETI YOTE YA NINI HIYO?
mimi nakushauri kama bado haujawahi kusex nae basi usimnunulie nguo za ndani (hii ni kwa wale walokole)
bali mnunulie pedi kama haujawahi kumnunulia,
unajua unaweza ukamnunulia nguo ya ndani na asiivae cuz bado haujawahi kuziona nguo zake za ndani anazopendelea kuzivaa,
na unaweza ukamnunulia uwa na asilipende au labda alishawahi kupewaga mauwa mengi hivo hatokuona wa pekee,,
unaweza ukamnunulia msosi akawa ameshiba au akawa haupendi ivo akawapa watu wengine waule,
LAKINI HAKUNA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA AMBAE HATUMII PEDI,
Hatakama ataiweka ila ipo siku ataitumia tu.
skiza, wanawake wanapenda sana mtu anayejua kuwajali,
hivo ukimnunulia baadhi ya vitu utamfanya akuone wapekee zaidi cuz ni zawadi adimu kuipokea.
Na atakuona unamjali zaidi.
Au Kama hiyo njia ulishawahi kuitumia SEMA NIKUPE NYINGINE,
ZIPO ZAWADI NYINGI NA VIPO VITU VINGI SANA AMBAVYO UKIMFANYIA MWANAMKE ATAKUONA WAPEKEE,
mapenzi ni ubunifu mkuu.