Inawezekana anavithamini mnoo na kwa maana hiyo anavitumia mara chache in special occassions😀😀Nimekuelewa sana.Unajua mimi mawazo yangu na furaha yangu ilikua ni kuona mama akivitumia vile vitu nilivomnunulia kila mara.Ambapo kila nikiona anatumia naona 'Yes" kapendezwa navyo.Vikiisha tu namnunulie vingine.Kumbe kuviifadhi ni upendo pia dah!Ila mwisho vitajaa kabatini kama havitumii.
Dah eti vitoto vya gari
Tusichotambua ni kuwa kwa mama zetu kila tunachowafanyia kwa upendo kwao kina thamani kubwa sana. Ndio maaana unaweza kumtumia mama yako sh.10000 akakushukuru na kukuombea sana, ila gf/mke anaweza hata asishukuru.
Si unaona zawadi ulizomnunulia hazitumii wala kugawa!! Hizo ni ishara kuwa anazithamini na anatamani kuziona kila wakati hivyo hataki viharibike. Sasa kaa nae mara kwa mara muwe mnazungumza, lazima utajua kuna kitu anatamani kuwa nacho au kukifanya ila hana huo uwezo. Then kama kipo kwenye uwezo wako mfanyie.
NB: zawadi yoyote utakayompa kwake inathamani kubwa.
Mnunulie anachokipenda au anachofanya
Mwe mwe mweeeeh!![emoji134]Leo sijui umekula maharage ya wapi ! Umeongea point sana.
Tunataka zaidi.Umenena vyema sana, gf sijui mnakuwaje hamridhiki hata kidogo
Hapo nyumbani kuna kijigari.Hakuna anaye angaika nacho.Kinaweza kukaa hata miezi hakuna anayekigusa.Leo ndio nimekiendesha mimi kwenda kwenye maafali ya binamu.
Sioni sababu ya kununua lingine wakati lilopo halitumiki.Pia bado sijafikia uwezo wa kumnunulia mama yangu gari nafsi yangu ikaridhika.Labda nijibane mwaka mzima nimnunulie hivo hivo vitoto vya gari.
Sawa mkuu.Nashukuru nitafanya hivoMnunulie anachokipenda au anachofanya
Hili nalo neno.
Mimi binafsi nimeachana na zawadi za sapraiz, napenda kujua HITAJI halisi la mlengwa
Umegoma kunijbu?Ambition plus,
Ahsante sana kijana,kabla sijakupa ushauri, nifahamishe; babako yupo naye? Au kama hayupo naye,ana mume mwingine? Kisha ntarudi kukushauri.
Mwenzio hataki viishe, kuendelea kuviona ni furaha kwake.Nimekuelewa sana.Unajua mimi mawazo yangu na furaha yangu ilikua ni kuona mama akivitumia vile vitu nilivomnunulia kila mara.Ambapo kila nikiona anatumia naona 'Yes" kapendezwa navyo.Vikiisha tu namnunulie vingine.Kumbe kuviifadhi ni upendo pia dah!Ila mwisho vitajaa kabatini kama havitumii.
Hili nalo neno.
Mimi binafsi nimeachana na zawadi za sapraiz, napenda kujua HITAJI halisi la mlengwa
Mi mwenyewe mwanaume mwenye ivo vi baby walker anatembea amening'iniza ufunguo huwa namshangaaDah eti vitoto vya gari
Okay wacha nikujibu mkuuAmbition plus,
Ahsante sana kijana,kabla sijakupa ushauri, nifahamishe; babako yupo naye? Au kama hayupo naye,ana mume mwingine? Kisha ntarudi kukushauri.
Nahisi wewe ndio mwenye tatizo.Hamjawahi kuwafanyia wazazi wako tafrija ya kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa??Bhasi hata ungeniuliza kwanini nimemkadiria umri wake kabla ya kuniita "mjinga".Wewe na mama yako Mumepishana miaka 22 jinga kweli wewe....yaani unakaa chini unaanza kupishanisha Miaka na mama yako..
Acha tabia ya kumkadilia mama yako iyo ndio zawadi tosha
Dah,,,, sijawahi kuwaza nimepishanaje umri na mama yangu asee...
Watu wengine ni wafukunyuku sana malamamae