kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,575
- 18,949
Kwenye Jibu la anafanyia nini ndo unajua kama itarudi au ndo msaada jumla huipatii...Mtu anaomba mkopo unamuuliza kwaajili ya kufanyia nini? Ni mkopo si msaada
Nimeshangaa sanaElfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi ww mvaaa chupi unauonaje?Elfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha makubwaYaani elfu 50 tu unaomba ushauri? Ungeazimwa gari si ungeenda mahakamani kabisa kumtaarifu hakimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba kala vitunguu saumu?
Mwambie aje achukue geto fasta tu.Toka nimtokee hata wiki haijaisha vizuri anasema nimkopeshe elfu hamsini.
Eti wadau, nimkopeshe tu ili nimuwin moyo wake vizuri au ndio kizinga??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ndio Comment za jamaa yako!Sio kwamba kala vitunguu saumu?
Mkuu nimeshangaa kaachana na vitunguu saumu ghafla 😀😀😀[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ndio Comment za jamaa yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeshangaa kaachana na vitunguu saumu ghafla [emoji3][emoji3][emoji3]