Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,635
Hajala huyo
Hajala huyo
Nimekusoma chiefmwambie aifate geto.
Mtatuelewa tuElfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunapitia mengi, kuna maana sana hapo.. Japo baadhi ya wanawake watachukulia juu juuYaani elfu 50 tu unaomba ushauri? Ungeazimwa gari si ungeenda mahakamani kabisa kumtaarifu hakimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiumize KICHWA;Elfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida wapi chief, ila asante kwa mchango wakoInategemea na tatizo lake aisee. Kama kuna issue ya msingi ntakusihi mgaie tu haina haja hata ya kumkopesha
Sijalia missMkopeshe wewe acha woga si bora amesema akopeshwe kuliko kukuomba
Mwanaume huwa halii na vitu vidogo kama hivi
Sijalia miss
Usichukulie vitu serious sana.. Na kutokana na comments zenu hapa kwa baadhi ya nyinyi wanawake kuna kitu nimekipata.Umelia mpaka kuleta thread mwanaume wa kweli angempa tu huko huko kimyakimya
Nadhani ni mmoja wapo uliyefahamu target yangu ilipo, na ukitoa, toa bila ya kukumbuka. AsanteFyekelea mbali huo ni mzinga kama unapenda kumpa we mpe tu mana mademu wa siku hizi njaa zimewazidi ukimtokea utasikia kesho kutwa happybiday yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kupata kwenye research yako uwe na siku njema byeUsichukulie vitu serious sana.. Na kutokana na comments zenu hapa kwa baadhi ya nyinyi wanawake kuna kitu nimekipata.
Hahaha, Questionnaire zangu ndio umezisusa??Endelea kupata kwenye research yako uwe na siku njema bye
Shangazi hujambo