Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Mm mzima jamani na mjomba ako hofu kwenu tu
Mm mzima jamani na mjomba ako hofu kwenu tu
Elfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app

Nawaasa wanaume wenzangu wote hakuna cha bure. Bado tuna ndoto za mapenzi ya kweli eti demu kanihusudu/ kanidondokea aaah wapi. Kama umemtongoza mwenyewe lazima akutest kwanza waweza mtunza? Km huna hata alfu 50 sasa wawezaje kuwa msaada kwake? atakuamini vipi? Akugee miwili wale wewe hata 50 ya sabuni? Mimi siungi mkono sana malalamiko yetu haya ya kukimbia invoice Sababu. Kwanza umekutana na Mwanamke kitaa sijui wapi hakujui vizuri wewe unaomba nafasi ya mgegedo wengine kusema no hawawezi kwa hiyo anakutafutia kitu cha kukufukuzisha. Anakupiga mzinga wa haja anajua haurudi na ukirudi atatafuna mpunga wako weee mpaka unaomba RB central. Mwingine test yake ya kumjali kwake ndo hiyo je huyu mtu nikiwa nae atanitunza kweli? atanijali? So kirungu ndo kipimo halisi . N.a. kuna wale wafanyabiashara kabsaaa nipe nikupe. Mdau kumpata demu wa maana ni gharama. Wanaume hawasemi tu lkn akipenda kitu atahonga mpaka kitanda cha urithi


Tell them Bro!!!Asante kwa mchango wako chiefNawaasa wanaume wenzangu wote hakuna cha bure. Bado tuna ndoto za mapenzi ya kweli eti demu kanihusudu/ kanidondokea aaah wapi. Kama umemtongoza mwenyewe lazima akutest kwanza waweza mtunza? Km huna hata alfu 50 sasa wawezaje kuwa msaada kwake? atakuamini vipi? Akugee miwili wale wewe hata 50 ya sabuni? Mimi siungi mkono sana malalamiko yetu haya ya kukimbia invoice Sababu. Kwanza umekutana na Mwanamke kitaa sijui wapi hakujui vizuri wewe unaomba nafasi ya mgegedo wengine kusema no hawawezi kwa hiyo anakutafutia kitu cha kukufukuzisha. Anakupiga mzinga wa haja anajua haurudi na ukirudi atatafuna mpunga wako weee mpaka unaomba RB central. Mwingine test yake ya kumjali kwake ndo hiyo je huyu mtu nikiwa nae atanitunza kweli? atanijali? So kirungu ndo kipimo halisi . N.a. kuna wale wafanyabiashara kabsaaa nipe nikupe. Mdau kumpata demu wa maana ni gharama. Wanaume hawasemi tu lkn akipenda kitu atahonga mpaka kitanda cha urithi
Hii karne ipo kasi sana na watu wakeMpenzi hakopeshwi. Wewe msaidie kama mnapendana, lkn hata wk haijaisha anataka kukupga mznga? Mkikaa miaka mi5 utabakia kapuku
Sent using Jamii Forums mobile app

Mm mzima jamani na mjomba ako hofu kwenu tu
Sawa chiefUyo hakufai ameisha umizwa na mapenz chapa mwendo.
Kwa uchumi huu wa viwanda!! Tena mwezi wenyewe huu wenye siku 40?!!Inategemea na tatizo lake aisee. Kama kuna issue ya msingi ntakusihi mgaie tu haina haja hata ya kumkopesha
MpeToka nimtokee hata wiki haijaisha vizuri anasema nimkopeshe elfu hamsini.
Eti wadau, nimkopeshe tu ili nimuwin moyo wake vizuri au ndio kizinga??
Nusu nusuSiku hizi wajanja anajua akishakupa mzigo tu unasepa, bora ale vyako mapema.
Wewe si umkopeshe Kama ulivyoombwa? Labda Kama hauna hilo ni jambo lingine. Tatizo unajishtukia ukute yupo serious atarudishaShida wapi chief, ila asante kwa mchango wako
Wewe si umkopeshe Kama alivyoombwa? Labda Kama hauna hilo ni jambo lingine. Tatizo unajishtukia ukute yupo serious atarudisha




Wee mponzee tu mwenzako..!!Mtu anaomba mkopo unamuuliza kwaajili ya kufanyia nini? Ni mkopo si msaadaWee mponzee tu mwenzako..!!
Mwambie aje aifatee getoooo.. ilaa ukimpa afu ukamgegeda jua ndo mshalipana..
Je ana chanzo cha mapato??? Hiyo hela anafanyia nini??? Usijemkopesha kumbe kwa ajili ya kuchanga sherehe..
Sent using Jamii Forums mobile app