PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Chakula cha mchana ndio kipi?
Ghafla sana
Toka nimtokee hata wiki haijaisha vizuri anasema nimkopeshe elfu hamsini.
Eti wadau, nimkopeshe tu ili nimuwin moyo wake vizuri au ndio kizinga??
Na nyie wasichana (baadhi), basi tuWavulana wa miaka hii sijui mmelishwa nini??!!
Riba nitamdhulumu
mwambie aifate geto.
Asante kwa mchango chiefThread ya Kijinga sana hii Kuelekea Tanzania ya viwanda 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ungeurudia tena uziKwani wewe hujawahi kukupa?
Sijalia chief, labda hujataka tu kulielewa swaliMwanaume hutakiwi kulialia kwa vitu vidogo kama hivi.
Kama umewahi kukopa mkopeshe tu.Labda ungeurudia tena uzi