Nimjuavyo olesendeka mbunge wa simanjiro!!!

vijana wa Lowasa mko kazini i

Watu kama wewe ndio "vilaza" katika nchi hii!! Hata masuala ya kisiasa nchini huyajui wewe.....kama mm ni kijana au mfuasi wa EL, iweje nimponde Olesendeka? Au huna taarifa kuwa Olesendeka kesha nunuliwa na EL? Sendeka hana msimamo dude!!

Hapa hakuna cha Sendeka wala Lowassa, niliyoyaeleza ni ukweli mtu AU ulitaka nidanganye wana JF? HAIWEZEKANI!!! Hii forum ina heshma yake, nitasutwa na nafsi yangu kuudanganya UMMA!!!!!
 
UUUUUHHHHH balaa kabisa huyo...hafai kabisa kuwa kiongozi katika jamii...si at-endorse rape. polygamy and all kinds of injustice...nimeshangaa sana
 
Nduu/Mamaya, hakuna mtu alotumwa hapa, je wewe umetumwa na nani?

Kama haya ni uongo, fanya research yako....tatizo la baadhi yenu ni wavivu kufuatilia mambo badala yake yakiletwa yalotafitiwa mnakurupuka hooo katumwa mara vijana wa flani...... Ukiona imekukera leave it alone!!
 
Usahauri kwa OleSendeka ni kuwa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Mfano kuhusu suala la Katiba mpya maelezo yake yanakanganya kama yalivyo nukuliwa na Mwanahalisi. Kama mwanasiasa awe mwangalifu lasivyo hata wapiga kura wake watamsutukia.
 
Kakutenda nini!
Kiukweli jamaa ni mkorofi, mbaguzi kwa kiwango cha juu. Anapenda aogopwe hata na wafanyikazi wa halmashauri na ndiyo maana hawampigiagi kura, ana roho mbaya na hata pale kijijini kwake kabisa ni aibu. Landanai ni tarafa au kata, kijiji chake nimekisahau kidogo jina. Hata nyumba hana. Analala mabomani akienda simanjiro town.
 

Au anaogopa kulogwa kwa hiyo labda kajenga Arusha..
 

Hadithi njoo..utam kolea!
 
Tena hajafanya chochote cha maendeleo . pale makao makuu ya simanjiro Orkesmet hamna maji kabisa watu wanaishi maisha ya shida sana . Lakini kwa mdomo ndo mwenyewe .
 

Alipata wapi ujasili wa kusema kuwa anweza kuwa mwalimu wa mh. Tundu Lisu tena angempa tuition bure?
 
Msishanggae sana, jamaa ni masai, so yeye hata akilala juu ya mti sawa tuu, kwao nyumba si ishu, wamasai wanamchagua sababu ya utajiri wake wa ng'ombe
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, HII DHANA YA WE DARE TALK OPENLY NAONA SASA IMEKUA KITUKO!!!:rant::rant:
 
Olesendeka namkubali sana kwani anakula shavu la ubunge ambalo wengi wanalitamani na nna hakika bila la hilo shavu asingeshambuliwa humu!!b!go ole!!!maisha mazuri ndo mpango kama shule ulijaribu matokeo hayakuwa poa ila kwa imani kufeli maisha siyo kufeli maisha naona ukakomaa na mjengo unakuhusu na maposho kwa!!!life is good!hizi chuki za katika keyboard kama haziletwi na dhiki basi ni wivu wa mafanikio yako!!!!
 
kamtelekeza mtoto wake wa kike aliyemaliza pale jangwani,.anaishi vijibweni,naweza kukupeleka hadi kwa mama yake..anakutanaga naye kisirisiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…