Nimjuavyo olesendeka mbunge wa simanjiro!!!

Nimjuavyo olesendeka mbunge wa simanjiro!!!

Usahauri kwa OleSendeka ni kuwa ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Mfano kuhusu suala la Katiba mpya maelezo yake yanakanganya kama yalivyo nukuliwa na Mwanahalisi. Kama mwanasiasa awe mwangalifu lasivyo hata wapiga kura wake watamsutukia.

Soma Mwanahalisi la wiki hii ukurasa wa 3 utanielewa nilichokileta hapa jamvini!!! Jamaa ni hovyo hovyo sana!!!
 
Tena hajafanya chochote cha maendeleo . pale makao makuu ya simanjiro Orkesmet hamna maji kabisa watu wanaishi maisha ya shida sana . Lakini kwa mdomo ndo mwenyewe .

Huu ndio ukweli nayo ni kweli takatifu!!.....Huyu Mbunge ana matatizo tena nadhani ya akili....hayuko sawasawa....naambiwa hata wadau wenye nia ya kuleta maendeleo kama viwanda vya maziwa na nyama huko Rotiana, Ranches za kusaidia kuboresha mifugo
na kuongeza thamani ya ng'ombe za wafugaji ANAYAPIGA VITA....KISA? Ni uroho tu na ubinafsi uliomtawala!!

Huyu Sendeka, ni mropokaji, mbwatukaji na anapenda mijisifa za kishenzi!! Huko nje usipomjua utamwona ni mtu mzuri sana lakini ni MBWA MWITU ndani yake!! Simanjiro ina ukame mkubwa na shida ya maji ktk maeneo mengi....Wanasimanjiro mniambie wepi kachimba visima au kutoa msaada wowote kuwezesha upatikanaji wa maji katika maeneo husika? Kama sio NGO ya IOPA kuchimba maji kwa mamilioni ya fedha nadhani makao makuu ya Simanjiro ORKESUMET na wakaazi wake, wangesha hama siku mingi sana....

Haya bwana, wana simanjiro mna hasara sana kumchagua VUVUZELA KABWELA, kazi kwenu!!!!!
 
Wana JF,

Nimjuavyo Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Olonyokie Olesendeka:

1. Ni mtoto wa kifugaji (mmaasai) wa kijiji cha Lendanai
2. Alisoma Moringe secondari- Monduli
3. Alipata division 0 (zero) form six
4. Alishakua katibu tarafa na diwani wa Kata ya Naberera Simanjiro
5. Mwenyekiti wa CCm wilaya yake ya Simanjiro
6. Ana wake watano, mmoja amemkimbia
7. Haja jenga nyumba kwao, anaishi nyumba ya kinyesi cha ng'ombe
8. Anamiliki ng'ombe zaidi ya elfu 4
9. Ndg zake wanaishi maisha ya dhiki na umaskini mkubwa
10. Jimbo lake la Simanjiro liko nyuma kimaendeleo na hakuna mradi wowote alioibua toka awe Mbunge wa jimbo hilo!
11. Wananchi wake ni maskini, hawana maendeleo na wasomi ni wachache. Jimbo lake halina mfuko wa maendeleo ya elimu.
12. Wakati wabunge wenzake wanasomesha watoto ktk majimbo yao, yeye hana hata mmoja anaemsomesha!
13. Ni Mbabe, mkorofi, Bondia na hasiti kuporomosha matusi hadharani bila kujali hadhi aliyonayo kama Mbunge
14. Mwaribifu wa ndoa za watu, na hupenza mabinti wadogo wadogo hasa vitoto vya shule!!!

Nawasilisha!!
Hii vita ni kali unabifu gani na huyu jamaa, naona umemkalia kisawa sawa!!!!!!

 
Alipata wapi ujasili wa kusema kuwa anweza kuwa mwalimu wa mh. Tundu Lisu tena angempa tuition bure?

RUTARE,

HAHAHAHAHAHA......Umenivunja mbavu kaka!!! Huyu jamaa ni NOMA sana ni MWONGO sijapata kuona kiongozi wa namna hii katika hii karne!!! Tuition ya sheria? tena kwa Comred Lissu? Sote tulishangaa siku hiyo alipokua anaongea Bungeni......Watz waliamini kuwa Sendeka may be ni lawyer.....lakini thanx God of almighty alikuja kudhihirisha mwenyewe kwa kinywa chake kuwa COMRED Lissu anamheshimu kwa ustadi na umaridhawa wake ktika sheria!!!!

SHAME ON HIM!!!
 
Hii vita ni kali unabifu gani na huyu jamaa, naona umemkalia kisawa sawa!!!!!!


Kiongozi,

Sina bifu nae kabisa......HUO NDIO UKWELI na lazma watu washangae maana hawajapata kusikia another side of the coin about the guy!!!! Tumemlinda sana lakini katuboa alipomshambulia/shambulia watetezi na wazalendo wa kweli wa watanzania masikini (Lissu, Mbowe na CDM kwa ujumla) wakati wa kujadili muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba mpya!!

Sasa kachokoza nyuki, lazma ang'atwe na asali halambi!!!!
 
hapa sion tatizo, kama wake watano anakaribia kuukwaa Uimamu, kafeli siz kafaulu Ubunge, kuhusu kufel siz sio yeye aliyefeli bali walimu wake zidi ya NECTA. Kuhusu kujenga Tangu lini wafugaji wakajenga wakati ni wakuhama hama kufuta malisho, na umesema ana ng'ombe elfu nne. Naona mdomo kautumia vizuri mpaka watu wakamuamini na kunzawadia ubunge, hapa Big up Ole-se.

Itabidi waliofeli waanzishe chama chao ili jamii isiwatenge. Kiongozi atakuwa mwa--sha. KJ
 
Kiongozi,

Sina bifu nae kabisa......HUO NDIO UKWELI na lazma watu washangae maana hawajapata kusikia another side of the coin about the guy!!!! Tumemlinda sana lakini katuboa alipomshambulia/shambulia watetezi na wazalendo wa kweli wa watanzania masikini (Lissu, Mbowe na CDM kwa ujumla) wakati wa kujadili muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba mpya!!

Sasa kachokoza nyuki, lazma ang'atwe na asali halambi!!!!
Wenzio CCM ndio aina ya watu wanaopendwa, bendela fuata upepo wanatumika kwa maslahi ya CHAMA!!! Simanjiro wana hasara vijana wa kule (Merelani) waanze kupasha misuli kupambana kwenye hilo jimbo hadi likombolewe!!!!!! Hivi ni kweli kanunuliwa na Lowasa?????

 
ha ha ha kweli aisee!1 af anajitia kazaliwa 1964 wakati uso una matuta kama ze priaimu ministah


[TD="bgcolor: #b1c3d9, colspan: 3"] GENERAL [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Salutation [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, bgcolor: #e9f0f0"] Member picture
1387.jpg
[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] First Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Christopher[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Middle Name : [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Olonyokie[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Last Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ole-Sendeka[/TD]

[TD="width: 20%, bgcolor: #e9f0f0"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #e9f0f0"]Constituency Member[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Constituent: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Simanjiro[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Political Party: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office Location: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]P.O.Box 14384, Arusha[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office Phone: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]+255 768 300000 begin_of_the_skype_highlighting +255 768 300000 end_of_the_skype_highlighting [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Ext.: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office Fax: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Office E-mail: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"] csendeka@parliament.go.tz [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Member Status: [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Current Member[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"] Date of Birth [/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1 January 1964 [/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"] EDUCATIONS [/TD]

[TD="width: 35%, bgcolor: #b4c6db"] School Name/Location [/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #b4c6db"] Course/Degree/Award [/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b4c6db"] Start Date [/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #b4c6db"] End Date [/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #b4c6db"] Level [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Naberera Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1974[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1980[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Monduli Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1981[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1984[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]SECONDARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Oldmoshi High School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1985[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]MS.TCDC & Kimage Manor College (IRELAND)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Community Development Course[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1995[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]DIPLOMA[/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] CERTIFICATIONS [/TD]

[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"] Certification Name or Type [/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"] Certification No.
[/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] Issued [/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"] Expires [/TD]
No items on list
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] EMPLOYMENT HISTORY [/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db"] Company Name [/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] Position [/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] From Date [/TD]
[TD="bgcolor: #b4c6db"] To Date [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Member - Simanjiro Constituency[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]2005[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]2015[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Non-Government Organisations- NGO's[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Programme Coordinator/ Officer[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1994[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1997[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Prime Minister's Office[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Secretary[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1990[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1993[/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] POLITICAL EXPERIENCE [/TD]

[TD="class: text_menu, width: 47%, bgcolor: #b4c6db"]Ministry/Political Party/Location [/TD]
[TD="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: #b4c6db"]Position [/TD]
[TD="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: #b4c6db"]From[/TD]
[TD="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: #b4c6db"]To[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Head of Admnistration (UVCCM-HQ)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1999[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]2001[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Member of National Executive Council(NEC)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]2002[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chairman - Simanjiro District[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1993[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]2007[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chairman -UVCCM[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1989[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1994[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Chama Cha Mapinduzi - CCM[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Leader of Student Union(UVCCM)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1975[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1987[/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 2"] PUBLICATIONS [/TD]

[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Description [/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Published Date[/TD]
No items on list
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 4"] SPECIAL SKILLS [/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db"]Skill Name or Description [/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Years Experience [/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Acquired Through [/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Skill Level[/TD]
No items on list
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]
[TD="bgcolor: #edeeee"][/TD]

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"] RECOGNITIONS [/TD]

[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Recognition Type[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Recognition Date[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Reason[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Action Taken[/TD]
[TD="class: text_menu, bgcolor: #b4c6db"]Issued by[/TD]

[TD="colspan: 7"] No items on list [/TD]
 
Back
Top Bottom