vijana wa Lowasa mko kazini i
Kiukweli jamaa ni mkorofi, mbaguzi kwa kiwango cha juu. Anapenda aogopwe hata na wafanyikazi wa halmashauri na ndiyo maana hawampigiagi kura, ana roho mbaya na hata pale kijijini kwake kabisa ni aibu. Landanai ni tarafa au kata, kijiji chake nimekisahau kidogo jina. Hata nyumba hana. Analala mabomani akienda simanjiro town.Kakutenda nini!
Aisee!
Huenda mengi ikawa kweli lakini No7 nina mashaka nayo! itawezekanaje?
Kiukweli jamaa ni mkorofi, mbaguzi kwa kiwango cha juu. Anapenda aogopwe hata na wafanyikazi wa halmashauri na ndiyo maana hawampigiagi kura, ana roho mbaya na hata pale kijijini kwake kabisa ni aibu. Landanai ni tarafa au kata, kijiji chake nimekisahau kidogo jina. Hata nyumba hana. Analala mabomani akienda simanjiro town.
Wana JF,
Nimjuavyo Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Olonyokie Olesendeka:
1. Ni mtoto wa kifugaji (mmaasai) wa kijiji cha Lendanai
2. Alisoma Moringe secondari- Monduli
3. Alipata division 0 (zero) form six
4. Alishakua katibu tarafa na diwani wa Kata ya Naberera Simanjiro
5. Mwenyekiti wa CCm wilaya yake ya Simanjiro
6. Ana wake watano, mmoja amemkimbia
7. Haja jenga nyumba kwao, anaishi nyumba ya kinyesi cha ng'ombe
8. Anamiliki ng'ombe zaidi ya elfu 4
9. Ndg zake wanaishi maisha ya dhiki na umaskini mkubwa
10. Jimbo lake la Simanjiro liko nyuma kimaendeleo na hakuna mradi wowote alioibua toka awe Mbunge wa jimbo hilo!
11. Wananchi wake ni maskini, hawana maendeleo na wasomi ni wachache. Jimbo lake halina mfuko wa maendeleo ya elimu.
12. Wakati wabunge wenzake wanasomesha watoto ktk majimbo yao, yeye hana hata mmoja anaemsomesha!
13. Ni Mbabe, mkorofi, Bondia na hasiti kuporomosha matusi hadharani bila kujali hadhi aliyonayo kama Mbunge
14. Mwaribifu wa ndoa za watu, na hupenza mabinti wadogo wadogo hasa vitoto vya shule!!!
Nawasilisha!!
1. Olesendeka hakupata kuwa graduate - Hajasoma chuo chochote kikuu hata college! (cv yake utaipata kwenye politics tu)
2. Wake zake walikua watano (5) mmoja amemkimbia wamebaki wanne (4)
3. Ana watoto 21
4. Uhusiano wake na Ole Millya hauna mahusiano wowote na "wanawake" isipokua wanatofautiana kisiasa tu!
5. Ni kweli ni "HATARI" sana kuwa na mahusiano na watoto wa shule au uhusiano wowote nje ya ndoa. Tulitarajia Olesendeka angetulia kwa heshma ya nafasi aliyonayo na kwa kuzingatia pia kuwa ana wake wanne (4), Hawamridhishi? SIJUI labda ana PEPO la NGONO!!!
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, HII DHANA YA WE DARE TALK OPENLY NAONA SASA IMEKUA KITUKO!!!:rant::rant: