NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]wanaume wa dar bhana[emoji56][emoji56]
'ARUDIE KUSOMA JIBU LAKO LA AWALIKuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...
Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake...
Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"...akaniuliza ^kwanini nasema Hivo??^....
sasa wakuu hapo nimjibuje ...
[emoji23][emoji23][emoji23]Manyoko wewe
TKuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...
Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake...
Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"...akaniuliza ^kwanini nasema Hivo??^....
sasa wakuu hapo nimjibuje ...
Wewe si ndiye unajua umuhimu wake, sasa sisi tutakusaidiaje?Kuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...