Nimjibu vipi huyu mwanamke?

Nimjibu vipi huyu mwanamke?

Na wewe kwanini unampost mke wa mtu? Huoni unafanya makosa makubwa
 
Nyie watotot bana mnatupatia wasiwasi sana. Yaani wakati unampost hukuwa na sababu?
 
Kuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...
Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake...
Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"...akaniuliza ^kwanini nasema Hivo??^....

sasa wakuu hapo nimjibuje ...
Mimi domo langu zito lakini lako limezidi
 
Nazani hujui kama mke wa mtu sumu mkuu

Dadadek sku nije nimfume mke wngu na upuuzi km huo namla rinda then talaka
 
Kuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...
Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake...
Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"...akaniuliza ^kwanini nasema Hivo??^....

sasa wakuu hapo nimjibuje ...
Dogo unafurahisha sana! Yaonekana mambo za kutongoza hujazimasta vizuri!
 
Back
Top Bottom