Hisia huwa zinabadilika kadri siku zinavyobadilika
so hakukupenda then...lakini now hisia zimebadilika...
kazi kwako kusuka au kunyoa...
Hakukupenda kipindi hicho na sasa anahisi anakupenda, na kwa vile anajua aliharibu, anataka kupretend alikuwa anakujaribu kipindi anakukatalia.
Mwambie hakukosea, hata sasa humpendi kimapenzi kwani unampenda mtu mwingine.
Mkuu hayo huwa yanatokea,inawezekana labda mwanzoni alikudharau kwasababu flan flan kama hali ya kiuchumi,aliona wewe sio type yake au alikuwa na mtu wake
Cha kufanya kama unampenda huyu uliye naye sasa we mwambie Najua ulikoipata hiyo picha na ni ya mpenzi wako wa sasa na akikuambia ndio maana hukukupenda mwambie tu Sawa na shukran, ili aendelee kujihukumu mwenyewe na kupata majibu
Usipate shida wala kuweweseka kwani anajua A-Z of what happened
Hisia huwa zinabadilika kadri siku zinavyobadilika
so hakukupenda then...lakini now hisia zimebadilika...
kazi kwako kusuka au kunyoa...
Hisia huwa zinabadilika kadri siku zinavyobadilika
so hakukupenda then...lakini now hisia zimebadilika...
kazi kwako kusuka au kunyoa...
Hakukupenda kipindi hicho na sasa anahisi anakupenda, na kwa vile anajua aliharibu, anataka kupretend alikuwa anakujaribu kipindi anakukatalia.
Mwambie hakukosea, hata sasa humpendi kimapenzi kwani unampenda mtu mwingine.
hakuna cha kumjibu, inaonyesha unamtamani maana isingekuwa ivyo ungemwambia tu kuwa tayar unae. lakini kwa kuwa hata huyo ulyenae hautamwoa, nakushauri wote waache wanakupotezea muda na kukufanya uchele kufikia Destiny Yako.