Nimfanyeje mtu huyo

Nimfanyeje mtu huyo

Godfrey amoke

New Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
1
Reaction score
1
Nilikua katika uhusiano na msichana mmoja wa chuo fulani,kwa mda mfupi tulipendana kwa kiasi ambacho sikutarajia,tukapanga jinsi maisha yetu yatakavyo kua hapo baadae,cha ajabu baada ya kufungua chuo akaridi chuoni baada ya wiki km mbili napiga cm anapokea kwa unyonge then nasikia sauti ya mwanaume ikabid nikare cm then sms inaingia kwenye cm yangu kua tusitishe uhusiano coz ameamua kurud kwa boy wake wa zamani anaesoma nae,da imeniuma sana mpaka leo na nampenda sana sipendi nimuache bt ikibid ntafanya hivyo.Je nifanyeje
 
Pole sana,but si afadhali umelijua hilo mapema? Achana nae as long as ulikua plan B.
 
Maisha yaendelee, kubali yaishe utapata mwingine.
 
Mwanamke akishakuambia kitu amemaanisha hivyo wewe chukua time zako na huenda ulikuwa ynamtesa sasa amechoka maana hawa viumbe sometime ni wavumilivu na wepesi kutoa msamaha lakini wakichoka hawa viumbe kuwarudisha ni ngumu
 
Yule dada ana akili sana kwani amekuepusha na gharama za kupoteza muda na fedha.
 
Hizi ajali ni za kawaida sana katika mahusiano mkuu, usione kama umepoteza sana kubali tu matokeo jipange kwa yajayo.Pole sana.
 
id yako ya zamani plzzzzzzz! ila pole mwe!! ni vijimambo, na na uvungu umejaa wa kumwaga, kazi kwako!
 
Mbona mwanangu Godfrey Amoke una jibu sema hutaki kulikubali. Ningekuwa mimi ningemshukuru sana kwa kunionyesha sura yake halisi. Hata hivyo inaonekana hujui au umesahau kuwa visichana vingi vya vyuo vinakuwa na wapenzi kibao ili kukidhi mahitaji yao. Funga mguu uendelee na maisha yako muache huyo kwani si mpenzi kitu bali changu. Mapenzi kwa huyo ni zilch.
 
Move on, maumivu yatakuwepo lkn time is the best healer. Too bad kwa mdada kwani 'mkataa pema, pabaya panamwita'.
 
Move on, maumivu yatakuwepo lkn time is the best healer. Too bad kwa mdada kwani 'mkataa pema, pabaya panamwita'.

Hapo kwenye red umenena kabisa, ni suala la kuomba uzima tu
 
Hapo kwenye red umenena kabisa, ni suala la kuomba uzima tu

Yaani naweza fastfoward 2 years later, mdada sijui katendwa tena anajirudisha kwa Godfrey na kuomba warudiane. Life ni kitu kingine aisee.

Mambo hayo, tulisimuliwa, tukayaona/yaishi na tutaendelea kuyaona. Same mistakes, na matokeo ni yale yale!
 
Kweli kabisa, unajua kwa mtu ambaye hana uzoefu na haya mambo,akikumbana nalo anahisi kama vile ametengwa na dunia na kuchanganyikiwa,lakini kama ulivyosema ni suala la mda tu, jamaa anaweza kuja hapa na story nyingine kabisa.
 
Nilikua katika uhusiano na msichana mmoja wa chuo fulani,kwa mda mfupi tulipendana kwa kiasi ambacho sikutarajia,tukapanga jinsi maisha yetu yatakavyo kua hapo baadae,cha ajabu baada ya kufungua chuo akaridi chuoni baada ya wiki km mbili napiga cm anapokea kwa unyonge then nasikia sauti ya mwanaume ikabid nikare cm then sms inaingia kwenye cm yangu kua tusitishe uhusiano coz ameamua kurud kwa boy wake wa zamani anaesoma nae,da imeniuma sana mpaka leo na nampenda sana sipendi nimuache bt ikibid ntafanya hivyo.Je nifanyeje

pole sana hayo ndo mapenzi ni kama kamari kuna kula na kuliwa
piga moyo konde utampata wa kweli kaka
najua inauma jikaze omba mungu atakuonesha wa kweli
huyo dada kicheche alikuwa anawachanganya wote wawili sasa kakaa kachanganya karata zake kaona wewe boya mwenzako zaidi
na usithubutu kumbembeleza au kumrubuni akukubali atakuona bonge la **** na atakupelekesha i swear utarudi humu tena
nikutakie jioni njem bro
 
Mkuu unauliza ufanyeje kwani una option hapa? Si umeshaachwa kwa kutamkiwa sasa unataka ufanyeje tena?

Simama Kung'uta vya kukalia endelea na safari tu, huna ujanja hapo. Shukuru Mungu kakwambia na uweke msimamo maana baada ya muda atakuja tena atakwambia 'ni yule kaka alinilazimisha tu samahani sana mimi bado nakupenda wewe na Haki ya Mungu hatujafanya chochote nae' usikubali
 
kubali yaishe mwana...ulishakoseaga step toka long tym. kamatia mwengine na ushauri wa bure ni huu;; kwenye mapenzi ya sasa unatakiwa mguu ndani mguu nje....kuwa ready kusepa any time.
 
kubali yaishe mwana...ulishakoseaga step toka long tym. kamatia mwengine na ushauri wa bure ni huu;; kwenye mapenzi ya sasa unatakiwa mguu ndani mguu nje....kuwa ready kusepa any time.

MZABZAB Unatisha Kwa Mashauri Jiwe!!
 
MZABZAB Unatisha Kwa Mashauri Jiwe!!

ah mie nawapa vijana ushauri wa kweli ili wasipate headaches zakijinga....oh yalishatabiriwa haya watu wa siku za mwishi wanakuwa sio waaminifu....sasa jilinde mapema kabla hujaumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom