Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

Inaonekana wewe na huyo jamaawote nimember hapahalafu na hao wadada kumi wengi wapo hapana usikute ndio hao wanaokupa advice now......Hii ni bonge la movie kwa kweli.............
inawezekana kwa kweli. Natamani ningewajuaa
 
Wewe Ladywho wewe sio G wewe, Ina ni touch at, lakini hukukuta Nguo za Mademu na sms 10, ulikuta SMS 1 tu...
Uongo????!!!!!!
Waweza nii inbox Mamy

ndio mimi mpenzi! Kumbe unaitwa bramo humu? Umeona maushauri walionipa watu hapa? Nikumwage, nisirudi utaniuaa
Duhh JF Bwana....!!!!!!

Yaani hii Script ingeweza kui-put to Shame Script ya "THE USUAL SUSPECTS"
 
Aahh Aaah I love JF..!!!!!!
Yaani hapa siitaji Novel za Mario Puzzo, Sydney Sheldon, James Hadley Chase... wala William Musiba.....,
Yaani hapa kila kitu kipo
 
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!

You are wrong, angekuwa anakutaka kama wa kupita tu asingekuvumilia mwaka mzima bila kumpanulia paja! Msikilize. Na inawezekana kabisa wewe ukawa ndio msaada mkubwa katika kubadilisha maisha yake.

Kuna rafiki yangu mmoja yeye alikuwa even worse. Alikuwa analala gesti ya jirani na baa anayokunywa siku hiyo. Akaja akapata mwanamke aliyembadilisha kabisa na akabadilika na wakaoana. Anamuheshimu sana mkewe na kumshukuru kwa hilo na ndoa yao ina miaka zaidi ya kumi sasa.
Jaribu kuwa na moyo wa kuleta mabadiliko katika maisha na mioyo ya watu nawe utabarikiwa!
 
You are wrong, angekuwa anakutaka kama wa kupita tu asingekuvumilia mwaka mzima bila kumpanulia paja! Msikilize. Na inawezekana kabisa wewe ukawa ndio msaada mkubwa katika kubadilisha maisha yake.Kuna rafiki yangu mmoja yeye alikuwa even worse. Alikuwa analala gesti ya jirani na baa anayokunywa siku hiyo. Akaja akapata mwanamke aliyembadilisha kabisa na akabadilika na wakaoana. Anamuheshimu sana mkewe na kumshukuru kwa hilo na ndoa yao ina miaka zaidi ya kumi sasa.Jaribu kuwa na moyo wa kuleta mabadiliko katika maisha na mioyo ya watu nawe utabarikiwa!
Hawezi kubadilika kwa kweli.
 
You are wrong, angekuwa anakutaka kama wa kupita tu asingekuvumilia mwaka mzima bila kumpanulia paja! Msikilize. Na inawezekana kabisa wewe ukawa ndio msaada mkubwa katika kubadilisha maisha yake.Kuna rafiki yangu mmoja yeye alikuwa even worse. Alikuwa analala gesti ya jirani na baa anayokunywa siku hiyo. Akaja akapata mwanamke aliyembadilisha kabisa na akabadilika na wakaoana. Anamuheshimu sana mkewe na kumshukuru kwa hilo na ndoa yao ina miaka zaidi ya kumi sasa.Jaribu kuwa na moyo wa kuleta mabadiliko katika maisha na mioyo ya watu nawe utabarikiwa!
Ntajuaje hakutaka kupita tu? Una uhakika gani kuwa resistance yangu ndio imefanya hajanibanjua mpk leo? Mi nataka aache kunisumbua basi
 
Sikiliza SAUTI moyoni mwako, Kama utarudi Hakikisha Mnapima HIV STATUS yenu mara walau mbili ndipo iwe full kujiachia
 
Inaonekana wewe na huyo jamaa
wote nimember hapa

halafu na hao wadada kumi wengi wapo hapa
na usikute ndio hao wanaokupa advice now......

Hii ni bonge la movie kwa kweli.............
Nahis huyo Jamaaa kama nasemwa mie vile
 
ndio mimi mpenzi! Kumbe unaitwa bramo humu? Umeona maushauri walionipa watu hapa? Nikumwage, nisirudi utaniuaa
Lol, hili Bonge la movie kwa kweli, sio Siri Ladywho Mpenzi, Nakupenda kama jana na juzi mwenzio,ukiniacha utanitenda,Please Njoo Mama tulienzi Penzi letu.
Kumbuka that day nilipo kugusa kunako na ukapiga kelele "Stooooop" Please, Nipe nafasi Nyingine Mpenzi
 
Lol, hili Bonge la movie kwa kweli, sio Siri Ladywho Mpenzi, Nakupenda kama jana na juzi mwenzio,ukiniacha utanitenda,Please Njoo Mama tulienzi Penzi letu.Kumbuka that day nilipo kugusa kunako na ukapiga kelele "Stooooop" Please, Nipe nafasi Nyingine Mpenzi
mh! Makubwa! Penzi limeshakufa kibudu, ubaki nao hao mie ckutaki tena!
 
Back
Top Bottom