Nimfanyeje kiumbe huyu.....?

Kwahiyo we ladywho ulitegemea asiwe hata na msichana wa kupozea hata kama ni mmoja wakati wewe unakiri kuwa uko naye mwaka mzima lakini hujawahi kumpa. Kwa kifupi hakuna mwanaume wa hivyo unless ana kasoro. Kilichokusaidia hadi ukajua yote hayo ni kwa sababu umepekua kila mahali. We endelea naye tu kama kweli unampenda,ila kama walivyoshauri wengine uwe unambana lakini pia uwe unampanulia vinginevyo atarudia makoloni yake tu. Usibane sana dada yangu, hiyo kitu wanaume tunaipenda mno. Mwanaume yeyote (aliyefiti) hawezi kuvumilia mwaka mzima, ikishindikana kabisa hata Ohio ataenda.
idadi imenitisha mwenzio. Au na wewe unao 10?
 
Jihoji nafsi yako kwanza,wewe je ulishawahi kuwa nao?usimhukumu kwa kuwa nao kumi?isitoshe hana mkataba nao.Mpe masharti na mpime kwa muda usichukue maamuzi ya haraka sio mazuri.Aweza kubadilika na kuwa mtu mzuri baba wa familia.
 
umevuna ulichopanda,
ulitegemea nini wakati unabana mwaka mzima?
hiyo haina lawama amekuonyesha urijali wake

mbona hujatuambia na wewe kwenye simu yako kuna sms ngapi za wale jamaa,
 
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!
Nina wasiwasi na kauli yako kwamba "Hukuwa umepanua paja". Kwa hali ilivyo sasa, ni very rare watu kukaa hata mwezi mmoja wakiwa hawaja-make love, na ukizingatia huyo jamanaa ni fisadi wa mapenzi. Cha kukushauri kapime ngoma maana takwimu zinaonyesha mtu mmoja kati ya 10 hapa nchini ana ngoma. Na wewe ulikuta meseji 10 katika simu yake akichati kingonongono na wasichana tofauti. Hii ina maana kama amewala wote peku tayari atakuwa amekanyaga miwaya achilia mbali ambao alikuwa hajachati nao siku hiyo.
 
sasa wewe mwenyewe unasema humtaki, sasa kiherehere cha kutuuliza sisi ni cha nini tena, kama na wewe unaona vipi basi mrudie harafu UMPANULIE PAJA akut;'l@...#%4$....e
 
Mueleze tu kuwa asipoteze muda kukusumbua maana kamwe hutarudi nyuma,then uwe unamchunia kiukweli. Ataendelea kwa muda then atachoka tu atapumzika.
 
Nina wasiwasi na kauli yako kwamba "Hukuwa umepanua paja". Kwa hali ilivyo sasa, ni very rare watu kukaa hata mwezi mmoja wakiwa hawaja-make love, na ukizingatia huyo jamanaa ni fisadi wa mapenzi. Cha kukushauri kapime ngoma maana takwimu zinaonyesha mtu mmoja kati ya 10 hapa nchini ana ngoma. Na wewe ulikuta meseji 10 katika simu yake akichati kingonongono na wasichana tofauti. Hii ina maana kama amewala wote peku tayari atakuwa amekanyaga miwaya achilia mbali ambao alikuwa hajachati nao siku hiyo.

Kwa mtizamo wako. Upo ushahidi usio na shaka wa watu waliopendana zaidi ya miaka 5 bila kuvunja amri ya sita.
 
Love until it hurt, and when it hurt Love some more, when it hurt love even more..........Love until it hurts no more.....................
 
Huyo anakusumbua kwa sababu hujamfunulia paja. Mfunulie uone atakavyosepa, mwanaume kama hajapata yuko radhi hata akupigie magoti hata akurambe na mchozi juu ukimtoka, ngoja apate ndio utaona rangi zote.

Ila fuata moyo wako mama.
 
Lakini dada, huyo jamaa kama ni kiwembe kama usemavyo inawezekaje umekaa naye mwaka mzima bila kujua hizo tabia zake hata katika mwezi mmoja tu? Nahisi umemchoka ndio maana umemtafutia sababu, we endelea tu!
 
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko wa huo upenzi we2, nyumba, gari kazi nzur anavyo...ila tabia yake sasa. Ktk pekua pekua ya kike, nimekuta nguo za wanawake 5 tofauti zimeifadhiwa chumba cha pili ktk mafurush, simu yake msg za wadada km 10 hv wote amechat nao kihatari hatari..ngono! Ckuweza kumezea ivyo nikamuuliza akaruka kuvijua vi2 ivyo na msg akadai wadada wote hao wanamtongoza! Nilishindwa la kusema zaidi ya kujibebea walet yangu na kusepa huku namshukuru Mungu ckuwa nimepanua paja...! SASA ANANISUMBUA, ANATAKA NIMRUDIE, NIMSAMEHE, ATAWAACHA WOTE KWA AJILI YANGU...ANANIKERA...SIMTAKI...NIMFANYEJE FISADI HUYU AACHANE NA KUNISUMBUAA?! Najua hawezi kubadilika kabisaa!

Kwanza nikupe hongera kwa kutopanua paja kwa mwaka mzima....hii inaashilia mashine bado iko intack, yaani hujawahi panua kwa mtu mwingine pia!! maana kama umeshawahi panua kwa mwingine na kama mtarudiana na akagundua umemfanyia usanii mwaka mzima wakati mchezo unafanya hii inaweza kuwa point of difference!
Pili nirudi kwenye vigezo vyako (...nyumba, gari, kazi nzuri anavyo!) nikufahamishe wewe si wakwanza kuona haya kwake!! wengine pia wameona na kuridhika!! maisha ya leo hayana mwanaume kumtafuta/kumtongaza mwanamke hata wanawake wanatongoza wakiishaona vigezo vimetimilika!!!
Ushauri wangu ebu nenda step further uangalie ubinadamu/utu wake ....je ni mtu wa familia? je mwaweza kuishi wote? na lastly muombe Mungu!!!
Husichukulie tu swala la msg na nguo ukadhani umemaliza...watu/mtu anaweza kuwa hivi leo kesho akabadilika unahitaji kufanya-analysis ya kutosha si yakitoto! na si kweli kwamba kila anayefanya sex anaukimwi!! So husiwe mwepesi wa maamuzi .....it might be unajikosesha mmeo wa ndoa!! Mtegemee Mungu!!!
 
Huyo anakusumbua kwa sababu hujamfunulia paja. Mfunulie uone atakavyosepa, mwanaume kama hajapata yuko radhi hata akupigie magoti hata akurambe na mchozi juu ukimtoka, ngoja apate ndio utaona rangi zote.

Ila fuata moyo wako mama.

lkn akionja akakuta mambo mazuri si anakaa mpaka gari ananunua? lkn akakuta kawaida ......!!!
 
usidanganyike dada angu. hapo probability ni 100%-he has an affair with hao machicks bana....pia u might be wrong or not kuguess.thru xperience...lazima amepawanga kiaina. cha muhimu chukua uamuzi ambao hautajutia.... ukimtosa usijute songa mbele. ukimrejea usijute pia maana utakuwa umeamua wewe. jifunnze kutojutia maamuzi yako.
 
sa we yanakuhusu nin mkuu,achakachuliwe/acchakachuliwe ni yeye mwenyewe na ki2mbua chake.
Na mimi nilichoandika kinakuhusu nini? au unaona wivu 2 jamaa anaVIBURUDISHO 10 ....hlf ww ht malaya wanakukatalia.
 
Back
Top Bottom