Nimfanye nini huyu mwanamke?

Pole kaka. Hakuna milima Bila ukungu means hakuna binadamu Bila matatizo/changamoto. Kitu kizuri ni kuwa akili yako inamchukulia ni mchumba na syo mke.
Kama ungekuwa unamchukulia kuwa ni mke naamini usingekuja na huu uzi kwa sababu hyo. Namaanisha ungepambana kuhakikisha unaliweka sawa hilo. Sababu ungempenda kama mke na si kama mchumba. Wife material hayuko na tabia kama hizo. Alfu kitu tunachokosea ni kuwa, tunaingia kwenye uchumba wa kuchunguzana wakati uo huo tunaingia kwenye mahusiano na mwisho wa siku tunapenda na kulisahau jukumu la kuchunguzana. Na ukisha mpenda mtu hata kama utayaona madhaifu yake,kumuacha inakuwaga ngumu Sana ndo sababu umekuja na huu uzi.lakin kama ungekuwa hujampenda usinge jiuliza mara mbili mbili hata utake mashauri kwetu. Na kama ilivyo,Aliyeko mchezoni hawezi ona makosa bali aliye nje ya mchezo. Achana nae huyo syo mke kaka.
 

Mwanamke Muongo ni hatari zaidi ya mchawi huyo ni wa kumkimbia mapema kabisa!
 
Sasa mkuu ukae na mtu miaka 2 halafu umuache hujiulizi unamuachia nani? Yaani mleeee weeee mtuletew makombo mtaani. Kuwa siriaz kaka miaka 2 ni mingi sana bro
 
Mpige ban ya maaisha kama jina lako lilivyo tudada twa hivyo ni kiwanda cha stress uyo ukioa tu sahau kupewa khuma yani utapiga punyeto na k ipo pemben yako inapumua nlishaishigi na kimoja ka iko ilikua tukipishana lugha kdogo tu au kutofanya anachotaka ntanuniwa mwez mzima k naishia kuina kwenye bomba Nakwambiaje mpige Bann ya maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106]
 
Acha upuzzi kimbia hapo haraka sana, hakupendi ila anakutegemea kiuchumi... ndioo maana ukifulia anajinunisha...

na biashara sio kwamba imefilisika aliona una ifutalia sana akaona bora aiue ili hizo fedha aje kuanzisha kitu chake wae na uhuru nacho, au la hizo fedha kuna kijeba ana kula nae..

Narudia Tena huyo hakupendi una mbanabana anashindwa kuwa huru na mtu ammpendae nasiku ukigundua utakosa amani wewe maana umewekeza mahali pabaya!
 
Umeifanya ni tafakari kwa kina shukurani mkuu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
hizo ndizo dalili za mapema zinazoashiria kwamba hamuwezi kuoana, Sasa jifanye kizibo utajua hujui.
 
Umesema ni muongo na alikuwa mtaji??? Mkuu hilo la kula mtaji halipaswi kufumbiwa macho kama hakukua na sababu za msingi
all in all tafuta pesa mkuu
 
Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....

Ushauri ni ule ule ....tafuta hela[emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]

Atafute hela
 
Sasa c uoe hiyo manzi...wanaume tunaogopa kumegewa[emoji848]

Oa huyo man mwenzangu
 
we unataka mwananke wa aina gani?, ukisema umuoe a hupendi uongo io imekula kwako, kama unataka mwanamke wa kutengeneza pesa pia ukufai, kama unataka mwanamke wa kukusikiliza unavyotaka pia akufai. mi nnachoona unampenda na unafata mazuri mengine aliyonayo. kama na uwezo wa kumvumilia achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…