Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

inawezekana anampelekea mchepuko wake.....kukaa na mwanamke inatakiwa akili ya ziada....ningekuwa mimi ndiyo wewe ningewagonga hao rafiki zake kwanza halafu wangenipa siri zake
 
mkeo ana li msela lingine na hao rafiki zake wanajua,

-anachokifanya ni kujitahidi kuwaweka karibu rafiki zake ili wasikupe siri zake,

-niamini mimi.
Hali imegeuka kuwa mbaya zaidi kwenye bongo ya mtoa mada huko.
 
Wangekuwa wanakuja weekend sawa, ila hizo siku mbili ndo wanapumzika tu zingine zoote kwako.
Mwambie mkeo hili si sawa kabsa ikiwa anashindwa namna ya kuwaambia .mpe ww mbinu za kuwaambia.
 
mtoa mada inabidi ajue "being a man is more than having a dick"

-awe na msimamo hata kama mkewe ndio analisha familia.
Mkiendelea kuwa anachapiwa, mpaka jioni mida ya saa tatu atakuwa amerekebisha hili tatzo.
 
Yani hapa ndo naposhangaa mtu umemuoa mnalal kitanda kimoja kwann uumie rohoni mwambie mimi sitak hiki na hiki wanaume wengne mpoje lakini Be a man!
 
mgegede mmoja na wife ajue yaan atawatimua wote haooo! au jifanye upo karibu nao sana kabla ya mida ya jion uwe unamuuliza wife kama watakuja saa ngap
 
Hapo mimi naona bora mtafute jumba kubwa mkae na hao wanawake as a familly nafikir kitakachomtokea atajifunza
 
pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…