nimfanyaje huyu mwanaume

nimfanyaje huyu mwanaume

Ni muhimu kutenga hisia zako na masilahi ya mtoto, fanya kile kinamnufaisha mtoto....msikilize huyo ----- ana sera gani, ndo ufanye maamuzi.
 
Mpaka umekuja kuandika hapa, tayari chp ishalowa, chezea mwanaume ww. Lazma utampa tu.
 
mwambie kukutana na wewe ngumu, lakini mkaribishe nyumbani
 
Kamsikilize, kama Ana mpango wa kuchangia gharama za malezi kwa kutoa contribution ambayo ni realistic kwa hali ya uchumi wa sasa, kubaliana na hilo ila kama Ndio analeta story za kukupa laki 1 kwa mwezi achana naye maana anataka kuchukua credit ya kuwa amekusaidia kulea kirahisi. Mtoto hata akimtafuta later ni juu Yao. Lastly, japo huyo ni Baba wa mwanao ila hana ubinadamu so usijidanganye kurudi penzini naye, atakutenda tena.
 
Back
Top Bottom