Nimfanyaje huyu baba?

Nawaza sana mwisho wa haya mambo utakuwa lini lakn simpi chchte nimeshaapa
Na usichukue chochote toka kwake. Ukipokea tu,jiandae kutafunwa. We binti unawapenda wazee,hutaki kuchoshwa na mapigo ya farasi
 
Na usichukue chochote toka kwake. Ukipokea tu,jiandae kutafunwa. We binti unawapenda wazee,hutaki kuchoshwa na mapigo ya farasi
.lol sna hkika km napnda wazee
 
Hivi wewe una nini maana thread yako ni KUPENDWA tu mara zote, ooohhh ananicare mara ananipa kila kitu mara kaninunulia gari, all these ni ukweli au unatuchora au kuchukua story za mashoga zako????????
Au ndo swaga za KUJISIFIA mara zote wakati ukweli bilabila choka mabaya kama sie wa Gonga la kulia??
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

Ha ha ha hujui wanaume tulivyo resilient. Huyo kakuweka kiporo. In short huwa tunakuwa na timing. Yaani tunafukuzia mademu kadhaa kwa wakati mmoja and then we prioritize na kustrategize based on how we perceive you are. Miezi minne michache sana. In fact he got you where he wants you. Sasa mvulie chupi uone. Na usije ukafikiri kuwa hiyo gear anaitumia kwako peke yako.
 

kama una contradiction aisee... anaonekana hajakwambia kitu, then roho inamuuma, then humpendi na umeshamwambia... sijui lakini mazingira ya kumwambia mtu humpendi lazma yawe kimtongozo fulani, then ufanyeje umuepuke

i see a few things
  1. una njaa na lunch zake na favors zake
  2. hujui unataka nini
  3. hadi kujua family yake iko wapi, tayari umeshaelekea qibla
  4. huwezi kusema akuepuke wakati wewe huwezi kumuepuka, na simu zake unapokea
  5. his tactics work... and he will surely *** you
  6. and it will be your time kuja kusema anautesa moyo wako
 
umukagame je na huyo baba ni mtu maarufu? Maana wewe unapenda wanaume maarufu... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/678345-napenda-wanaume-maarufu.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…