Nimezimiwa simu

dah ngoja nipite kimya hapa kwa kweli 🚶🚶
 
Pole sana...

Umeharakisha sana kumpa jibu kwamba hujabeba...

Ungesubiri ufike, angeona huna na kukuliza, ungesema vinakuja na basi la mizigo...

Cc: mahondaw

[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sipendagi kuficha ila namshukuru kwa alichofanya
 
Dah nikisoma hizi comments zenu nachoka tu anyway usimwelekeze mtu ukutane nae kama mwenyewe hujiwezi I mean mlo mmoja utamtesa mgeni na ukicheki huna pakumuweka daah aise binadamu tumebadilika Sana
 
Dah nikisoma hizi comments zenu nachoka tu anyway usimwelekeze mtu ukutane nae kama mwenyewe hujiwezi I mean mlo mmoja utamtesa mgeni na ukicheki huna pakumuweka daah aise binadamu tumebadilika Sana

Mimi sikutaka kufikia kwa mtu, nilitaka mwenyeji anipokee anielekeze mji ulivyo, hoteli nzuri ziko wapi basi mwenyewe niko full na pesa yangu
 
Karibu mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…