Nimezimiss

Mkuu mpaka saa nane zitakuwa zimekufikia, nimekufungia parcel lina mashati, kofia na scarf, wewe ni ndugu wa damu siwezi kukutupa.
mshana jr
 
Naanza kuzisoma namba za kirumi...!
 
Mbona Kuna mashuka yake na mapazia kabisa! Unaeza weka ndani uwe unayeona kila wkt,, na ss watatoa na boxer kabisa
 
Mkuu mpaka saa nane zitakuwa zimekufikia, nimekufungia parcel lina mashati, kofia na scarf, wewe ni ndugu wa damu siwezi kukutupa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Makaburi mengine hata tafadhali! Kuyafukua ni kuleta hasira tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…