Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,668
- 7,046
Kama mnapanga kuoana subiri ufunge ndoa kabisa..Umekula ng'ombe mzima mkia utakushindaje?
Mwache akamfaudu bwana hiyo bikira inaweza kupotea hata na baiskeli si umeona baiskeli za mchina kile kiti chake kilivyo jishongondoa!!!Kaka ebu fanya faster...