Nimezama kwa Bar Maid

Nimezama kwa Bar Maid

Ndoa ni suala gumu sana.kwa maelezo uliyotoa yupo tayari kuwa na wewe kwa hali yoyote. hata kama ni kuigiza waliowengi akiigiza utamjua tu.endapo mnaelewana vizuri na unaisoma saikolojia yake IPO vizuri muoe.
Ndoa zote unazoziona zina matatizo ,zinaendelea kuwepo kwa kila mmoja kuyafahamu mapungufu ya mwenzake kwa kuzingatia kuwa no one is perfect.
Umejiridhisha muoe akibadilika utatoa maamuzi wakati Huo amebadilika ,let's time decide.
Jaribu kumwambia unataka kumuoa mke wa pili though she'll be the first one.
 
Hahahahah nmeipenda hiiinmkuuu.

Atupe kadi ,,,tuhududhurie ,tule ,tucheze ,,tunywe.
Umeonae? Watu wanaobeza hawajawahi pitia mapito magumu.Kuna mazingira watu wanapitia ambayo huwapelekea kufanya ambavyo hawakutaka.Tunahitajika kuwapenda,kuwafariji na kuwatia moyo ili wajisikie.Ukitegemea sisi wengine ni wazazi na hatujui tutaishi muda gani duniani na watoto wetu wataangukia mikononi mwa nani,so ukitenda wema unaweka akiba ya wanao,Mungu hukumbuka yale tulifanya na vizazi vyetu hupona au wale tuliowatendea mema huwa msaada sana mbele
 
Muwe wapenzi for atleast 4 years.

Mpe mtaji afanye biashra nyingine, aachane na hiyo kazi ya sasa.

Naamini wapenzi wanakutana popote pale.

Mke wangu tulikutana kwenye bus la Kilimanjaro, alikuwa anagawa maji, i will never regret.
Safi
 
Kazi yake isiwe kigezo maana huenda alisomea hotel management ila kwa kuwa ajira ni ngumu kabahatika kupata hiyo yard u bar maid, ndio sababu hata chakula chake ni kitamu
 
Mkuu mchunguze taratib usikurupuke..step by step utamsoma vizur zaid.kua bar maid siyo issue mbona ata maofisini tunawakunja na kuwapa hela hivyohivyo so nenda slowly utamfaham zaidi
 
Nimependa aina ya uandishi wako.
Nilichokitafiti katika andishi lako ni kuwa umri wako bado ni kijana mdogo, muoga na unafanya mambo mengi ki utafiti na kimajaribio.
Niliyotaka kushauri mengi yamedadavuliwa huko juu, ijapo wengi wameparazaparaza tu, hawakuzama kushauri.
Ingelikuwa kama mimi yamenitokea hayo na nikawa na haiba kama ya kwako, huyo mwanamke ningeliomba ushauri huku tayari ninaye, nilikwishamuoa.
Huyo mwanamke anavigezo vingi mno, ana thamani kubwa sana kuwapiku wanawake walio wengi.
Mzuri wa sura yenye kuridhisha moyo wako, anajua mapenzi ya kukuridhisha wewe, anajua kupika chakula unachosifia utamu wake nk nk. Huyo ni bonge la mwanamke. Kama atakuwa na tabia njema, basi waweza kuishi na kumalizia uhai wako kwa furaha. Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwa na vigezo vingi kiasi hicho kama alivyo huyo wa kwako. Wengi huishia kuwa na kigezo cha sura, lakini ukija kwenye vigezo vingine unakuta hovyo kabisa.
Pia uelewe kuwa
M/Mungu hii dunia hakuiumba kwa usawa.
Leo hii kuna mtu aweza kuwa na kitu kizuri anahitaji kukinunua, lakini hapati mteja wa kununua.
Wakati huohuo kuna mtu anatafuta kununua aina hiyohiyo ya kitu kinachouzwa na mtu aliyekosa soko, lakini haelewi atakipataje na kinauzwa wapi.
Sasa kwenye suala lako ni kwamba kuna watu wanatafutana kuoana bila kupata mtu wa kuoana naye, kwa maana kwamba kila mmoja anayetafuta hajui pa kupata.
Hali hiyo hupelekea saazingine kuzeekea majumbani.
Sababu ni hiyo tu, hajapata.
Wapo wanawake wazuri sana kama uliyemfungulia mada, hawana waume kwa sababu nilizotaja hapo juu.
Kwa hiyo. Kwa hiyo kujikuta wakiangukia kufanya kazi ambazo jamii inaziweka kundi la kufanywa na watu wasio na maadili.
Acha baa, hata changu doa kabisa, wapo wanaofanya mambo hayo kwa kubanwa na mazingira ya kiulimwengu, lakini kiuhalisia ni wanawake wazuri na wakipata waume wa kuwaoa, wanatulia kubadilika na kuwa wake wema. Achana na background za kazi zake. Angalia vigezo vya aina ya mwanamke unayetamani kuwa naye.
 
Ahsante sana mkuu... Nimependa ushauri wako. Napenda tu kukujulisha kuwa nimeshafanya maamuzi... Now ni mchumba. Nimefika kwao... Nimepokelewa vema, anatoka katika familia yakawaida ila yenye kumjua Mungu. Nimepeleleza kijijini kwao pia, background yake niyakuridhisha kabisa, feedback zote zimekuwa za kumsifia kwa tabia, ucheshi na kujituma kwake. Now nimemrudisha shule kdg... Nitakupitishia kadi ya mchangi wa harudi kunako inbox.. Ubarikiwe sana
 
Hongereni kwa majukumu ya leo waja jamvi.

Nikiri wazi kuwa kwa kipindi kirefu nimekuwa ndg msomaji tu hapa jukwaani. Na leo nimeona nishare nanyi jambo...

Nilikutana na huyu binti mida ya usiku, akili za usiku(ulevi) zikanifanya nisimame kumsaidia(kutupa ndoano). Hakusita kutaka msaada wa lifti mpaka eneo analoelekea. Tukiwa njiani ndipo stori za hapa na pale zikaendelea ikiwa ni pamoja na kujuana kwa kifupi.

Nilijikuta nafika mpaka mahali anapoishi. Kabla ya kuachana nikajaribu kuona kama ninaweza kuambulia kitu (niwazi kwamba mimi ni mstaarabu kwa kiasi flani. Nilikuwa radhi kumuacha aende zake) ila baada ya kuona kama kuna muelekeo nikakaza kamba na baada ya muda kweli nikapitishwa.

Nikaulizwa "kwahiyo unatakaje?"
Nikajibu "tutafute gesti" (mwanzo alisema anaishi na dada yake hapo gheto)
Nikaulizwa tena "wapi?"
Nikajibu "popote pa karibu"

Ndipo alipoomba dk kadhaa aende ndani kuchange then tutaenda machinjioni. Moyoni nilijiambia kuwa ndo style ya kuachwa kwenye mataa na mtoto wa mjini ila nikaamua hebu nimruhusu then nione. Kweli akaenda ndani na kama baada ya dk 5 akatoka. Kurudi kwenye gari akaniambia dada yake bado hajarudi. Hivyo kama vipi tuzame gheto. Akili za usiku zilizochanganyika na mhemko zikanipanda na kujikuta nimezama ndani.

Yalitokea yakutokea na baada ya shughuli nikaamriwa kumlipa, sikuona hiyana. Nikatoa elfu 10. Nikajibiwa haitoshi kwani gesti lazima ningelipia. Nikaongeza 10 nyingine. Nilijikuta nimeomba no ya simu then nikaondoka.

Kesho yake mchana nilimtafuta tena huyu binti, lengo likiwa ni kumsabahi (lakini pia kujaribu no ya simu kama ni fake au lah) bahati nzuri ilipatikana na tukaahidiana kuonana. Jioni ya siku hiyo tulionana, ndipo nilipoona kitu cha tofauti. Nakiri kwa dhati ya moyo huyu binti wa kichaga alikuwa kaumbika vema. Mcheshi na muwazi sana. Kwa muda mfupi nikajikuta namfahamu na kumzoea sana.

Ukurasa rasmi wa kufahamiana na kuanza mapenzi rasmi ukafunguliwa. Alikuwa wazi kwangu kuwa yeye ni Bar maid wa bar maarufu sana mitaa ya kinondoni.

Ndugu zangu binti huyu alinionyesha mapenzi ambayo sikutegemea hata kidogo, nilipikiwa chakula kitamu kila akiwa off (kwa hakika sijawahi kupikiwa chakula kuzuri namna hiyo before), huyu binti hajawahi kuniomba hela yoyote (nimekuwa nikichangia chakula na mambo mengine kama mwanaume ila sio kulazimishwa), amekuwa mtu wa karibu tofauti na nilivyotarajia, ni mjuzi na mtaalamu wa mapenzi (hapa mnaelewa), bila kusahau kupelekewa maji bafuni

Baada ya muda mrefu kuwa tunakutania kwake mara zote (sio kweli kwamba alikuwa anaishi na dadayake) siku moja akataka kufika kwangu. Nikamdanganya kuwa nimeoa. Dah, aisee palitokea ugomvi mkubwa siku hiyo. Mtoto alilia sana usiku kucha, nilimuonea huruma sana. Ila sikuwa na jinsi coz sikuwa nawazo wala kudhani kuwa ningeweza kuwa nae kama mke na mume (bado niko single af)

Baada ya tukio lile tulikubaliana tuachane kwa maana ya mapenzi ila tuwe marafiki. Ukweli toka tulipoachana nahuyu binti nimejikuta nampenda ghafla, amezidi kuwa mwema kwangu kiasi cha hata kunisaidia hela pale ninapomdanganya kuwa nina shida ili kumpima, zaidi nakumbuka ucheshi wake, mapishi yake na kila kitu.

Wana MMU nakiri huyu binti ameniteka sehemu ya akili yangu. Na ikimbukwe amekuwa muwazi sana kwangu, kiasi cha kuniachia simu yake mara zote nilipohitaji kukagua (ili kumtafutia kisingizio) nimekuwa nikitembelea bar yao mara kwa mara kwa kushtukiza ila mara zote sijawahi kuhisi tabia yoyote mbaya kutoka kwake.

Huyu binti mara zote amekuwa mshauri mzuri kwangu japo shule sio sana ila atleast anajua dunia inanyoenda. Kwa mda mfupi nimejikuta nimefanya mengi kwa ushauri wake. Ni yeye aliyeshinikiza kupima afya. (Sikuwahi kabisa kupima HIV kipindi cha nyuma) hivyo kupelekea kumuamini zaidi na kuenjoy sex.

Nakiri binti huyu anavigezo vyote vya kuwa mke kwa upande wangu. Ila mazingira niliyokutana nae pamoja na mazingira ya kazi yake vinanikosesha amani kabisa.

Nimeshawahi kuwa na mahusiano mengi kabla yake, ila naweza sema hiyu ni wapili kwa kuuteka moyo wangu ukiacha mke hewa wa kichuochuo.

Kwa wanaume kama umewahi kukutana nahali hii ulihandle vipi?

Msaada wa maombi ndio unahitajika zaidi

Nisameheni kwa muandiko mbaya. Bado Lerner hapa JF.

Usiku mwema wapendwa!
Nikiri kwamba wote mnafanana kwa tabia!Binti easily succumbed to her needs,livelihood and you easily gave in to your sexual desires,hakuna wa kumcheka mwenzie hapo.You all need toba na deliverance.Mna matatizo makubwa ya kiroho,tafuta Mchungaji akusaidie.

Having said that,ni wazi kwamba wote ni vipofu,hapo hakuna wa kumsaidia mwenzie.Yes, unasema ni mshauri mzuri,lakini nadhani si kweli,ni upofu tu wa mapenzi ya kijinga na hewa!Utampendaje kahaba?

Napenda pia ujue kwamba the fact that ulimkuta huyu binti bar na ulimfanyia uliyomfanyia so easily, clearly shows that hana akili za kimaendeleo or entrepreneurship.Huyo anajiuza,usidanganyike kwamba ana mapenzi ya kweli kwako.Mtu ambae alishindwa kujianzishia hata kamradi,akaamua kujiuza,leo unawaza kumfanya mke!You are joking.Atakuwa mzigo maishani kwako huyo,achana naye,look for a decent,entrepreneurial individual.
 
Nimekuelewa mkuu... Ila ufafanuzi kdg, je kahaba ni mtu wa aina gani? Ni yule anaejiuza waziwazi sehemu za starehe na mazingira mengine kama hayo? Au ni yule anaefanya ngono kwa malipo, au ni yule anaekuwa kama mpenzi/mchumba/mke kwako lakini unamgharamia kwa kila kitu? Au yule mpenzi/rafiki/sex mate ambaye kila mkionana lazima utoe hela?
 
Kila la heri mkuu, twakutakia furaha na amani kwa uliyemchaguwa kuishi naye, endelea na msimamo wako..
 
Nimekuelewa mkuu... Ila ufafanuzi kdg, je kahaba ni mtu wa aina gani? Ni yule anaejiuza waziwazi sehemu za starehe na mazingira mengine kama hayo? Au ni yule anaefanya ngono kwa malipo, au ni yule anaekuwa kama mpenzi/mchumba/mke kwako lakini unamgharamia kwa kila kitu? Au yule mpenzi/rafiki/sex mate ambaye kila mkionana lazima utoe hela?
Asante kwa swali lako zuri mkuu.

Kahaba ni mwanamke yeyote mwenye mahusiano ya kingono na mwanamume zaidi ya mmoja au asiye wake wa ndoa.Inaweza iwe kwa malipo au bila malipo.Kimsingi ni kwamba hata mwanamume akiwa na mahusiano na mwanamke zaidi ya mmoja ni kahaba,ingawa wanaume wanajivua ukahaba kwa kuwa wanadai eti wao dini zingine zinawaruhusu kuoa wanawake mpaka wanne.Si kweli,Mungu ni mmoja,mengine ni makando kando ya wanadamu tu!Yapo maneno kama malaya,kiruka njia,changu doa nk.Hayo ni maneno ya msimu,lakini yana maana ile ile ya kahaba.Kahaba ndilo neno la asili.

Yapo maneno mengine kama mzinzi na mwasherati.Mzinzi ni mtu aliyeoa anayefanya mapenzi nje ya ndoa, while mwaasherati ni mtu ambaye hajaoa lakini anafanya mapenzi na mtu ambaye hajamuoa.Hata hivyo wote hao ni makahaba.
 
Kwahiyo mwanamke sahihi (asiye kahaba) ni yule ambaye hajatembea na mwanaume mwingine sio? Yaani bikra?
 
Back
Top Bottom