Mtazamo wangu na wako unaendanda mkuu. Thanks muchconcern yangu isije kuwa ameona kuna future anakufanyia maigizo? tozo aliyo ku charge siku ya kwanza inatia mashaka.inawezekana ni tabia yake ila wewe ni mteja wake watofauti ndo maana ameamua kukufanyia maigizo.cha muhimu kama umempenda mchunguze bro vuta jiko.yawezekana huyo ndo bahati yako.yawezekana kama ungemkuta kanisani huyo huyo saivi tungekuwa tunaongea mengine tukijianda kula ndafu
tunaomba usimulie kidogoMuwe wapenzi for atleast 4 years.
Mpe mtaji afanye biashra nyingine, aachane na hiyo kazi ya sasa.
Naamini wapenzi wanakutana popote pale.
Mke wangu tulikutana kwenye bus la Kilimanjaro, alikuwa anagawa maji, i will never regret.
Pale mwishoni mkuu nimeeleza kuwa mazingira niliyokutana nae pamoja na mazingira ya kazi ndio vyanipa wasiwasi mkuu. Ushauri wako nimeuelewa sana mkuu. Thanks
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla mkuuTafuta rafiki yako yeyote, then umwambie aende hapo bar akamtongoze na ahakikishe kumuahidi dau kubwa kama 40,000 au 50000 baadaa ya kulala nae...na akomae kumsubiri hadi watakapomaliza kazi huku pale pale anampa care za kila aina including kununua msosi na vinywaji... wakienda kula tunda you know what to do..ila pia usishangae bbest yako akipendwa zaidi..ukubaliane tu na matokeo ya utafiti ila utupe mrejesho...