nimezaliwa tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimezaliwa tena

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Smile, Nov 7, 2011.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jamani waungwana kuna mtu alikuwa anatumia id yangu kupost humu jukwaani bila idhini yangu nimechange id yangu ya bebii
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wewe ni yule mjukuu wangu bebii au nachanganya mambo.................... kumbukumbu zangu zaniambia kuwa kuna member anayetumia hiyo ID ya Smile............... au ni huu uzee............
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  shikamoo babu umepona jamani ?nilikuwa nimesafiri sijaweza kuja tabata kukujulia khali .ila ni matumaini yangu upo salama kwani naamini mungu anasikia maombi yangu juu yako mpendwa
  kuhusu kuwepo na member mwenye id hii sidhani maana mod asingeikubali kama ipo inatumika
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Hata mimi kama nakumbuka hivyo...kabla hata "sijamfahamu" bebii nakumbuka kulikuwa na member anajiita "Smile"!

  Lakini hili la watu kulalamika ID zao kutumiwa na watu wengine linaanza kuleta mashaka...pengine ni wakati Mods wanaweza kusaidia kuliweka sawa....kama lina ukweli ama la.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sasa hapo mtakuwa mnanilaumu bure mimi nimewasiliana na mod sijajibadilisha mwenyewe labda muulizeni mwenyewe
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  ahsante mjukuu wangu naendelea vizuri namshukuru mungu.............
  lakini nina ombi mjukuu wangu, rejasha basi ile avatar yako uliyokuwa umetupia kigauni chekundu, hii ya sasa babu yako naona aibu kuitazama mie.............lol
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  yep alikuwepo ... hata avatar yake naikumbuka
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Not at all...sina sababu ya kukulaumu kabisa!

  Actually, kabla ya wewe kuweka wazi sababu ya kubadili ID yako, nilivyoona posts za Bebii zina ID ya Smile...kilichonijia kichwani ni kuwa labda ulikuwa na ID mbili hivyo Mods wameamua kuziunganisha....tumeyaona haya yakitokea katika siku za karibuni (kuna IDs machachari walikuwemo humu lakini sasa hivi hazionekani tena...zimeunganishwa!)
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Inawezekana hili tatizo likawa kubwa zaidi...............
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Mzee mwenzangu yule ni mjukuu wangu anaitwa "Smiles" haka ka kwako kanajiita Smile......... Chondechonde tusije nyang'anyana them jukuuz
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  :photo:....
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Asante sana Mkuu....naona 'uzee' huu unaanza kutunyemelea!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Aisee nyie machalii, stukeni!

  Kuna tofauti kubwa kati ya Smile na Smiles
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Karibu tena
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuna tofauti....ingawa sio kubwa sana (naamini kama 'Bebii' angelijua hili pengine angechagua ID tofauti!).....angeweza kujiita "Tabasamu":poa
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hapa tumeshachakachuliwa
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi sikuwa na id mbili nilimuomba mod anibadilishie bebii kuna mtu alikuwa anapost jukwaani bila idhini yangu nilijisahau nikampa pwd yangu
  sina shida wala muda wala sababu ya kuwa na ma id kibao mkuu mimi sio mnafiki na ndo maana nikajitambulisha kabisa hapa
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uswahili huo
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmmmh hiicho nini tena jamani?
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Asante pia kwa kuliweka sawa hili....ulivyosema mwanzo nilikuwa napata impression kwamba kuna mtu 'somehow' ame log in kwa kutumia credentials zako("hacking"). Nilianza kuingia woga......kwa kuwa kuna wadau kama wawili wengine nimewasoma wakilalamika IDs zao 'kutumiwa'.
   
Loading...