Ilikuwa kama utani mwaka 2005 nilipojikuta nipo ktk mahusiano.Hakika nilimpenda sana huyu msichana,alipata mimba mwaka 2007 na 2008 alijifungua baby boy.Muda wote huo alikuwa akiishi kwao na mtoto alipozaliwa waliishi naye nami nikitoa msaada unaotakiwa.Mwaka jana mama watoto wangu alienda chuo na nikagundua alikuwa na mahusiano na mtu.Nilipohoji akaniambia tuachane nilikataa baada ya muda akalazimisha kwa kufunga simu yake nami nikaona nikae pembeni nimuache aendelee anachofanya.SASA MTOTO ANA MIAKA 4 NATAKA KAA NAYE ILI NISIMAMIE MAISHA YAKE MAPEMA MAANA MAMA YAKE ANASOMA MKOANI HIVYO MTOTO HUBAKI KWA NDUGU .NILIPOMWAMBIA MAMA MTU AKAKATAA.KWA KWELI NAMPENDA SANA MAMA MTOTO WANGU KWANI NAAMINI MALEZI BORA YA MWANANGU YATATIMIA NATAMANI HATA KUROGA.JE NIFANYEJE WANA JAMII?
pole sana, Hauko serious ni haki yake kufanya hivyo.
1.kama utani....utani na maisha ya mtu? (you are not serious at all)
2.ulijikuta...hukujiandaa (you are not serious at all)
3.Akiishi kwao....Kwa nini aishi kwao? ((you are not serious at all)
4.Msaada.....umeniboa! Mtoto wa kwako unasema msaada siyo matumizi (you are not serious at all)
5.Mama watoto...Umefunga ndoa, ametokea kwako wakati anakwenda kusoma?(you are not serious at all)
6.Tuachane......afadhali, si ilikuwa utani (she is serious with life)
7.Mama kakataa....ulitaka afanyeje? wanawake wana akili acheni kabisa(you are not serious at all)
8.Unampenda sana...mbona ulimwacha akaishi kwao muda wote? hakupendi(you are not serious at all)
9.Malezi Bora...unajua hilo sasa hivi? (you are not serious at all)
10.Kuroga......ili iweje kwanza? you are wrong (you are not serious at all)
USHAURI: ENDELEA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO KAMA KAWAIDA, ACHANA NAYE, KESHA PATA WAJANJA ZAIDI YAKO