Nimezaa naye kaniacha naomba ushauri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimezaa naye kaniacha naomba ushauri.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DODOSO REFU, Sep 26, 2012.

 1. D

  DODOSO REFU Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa kama utani mwaka 2005 nilipojikuta nipo ktk mahusiano.Hakika nilimpenda sana huyu msichana,alipata mimba mwaka 2007 na 2008 alijifungua baby boy.Muda wote huo alikuwa akiishi kwao na mtoto alipozaliwa waliishi naye nami nikitoa msaada unaotakiwa.Mwaka jana mama watoto wangu alienda chuo na nikagundua alikuwa na mahusiano na mtu.Nilipohoji akaniambia tuachane nilikataa baada ya muda akalazimisha kwa kufunga simu yake nami nikaona nikae pembeni nimuache aendelee anachofanya.SASA MTOTO ANA MIAKA 4 NATAKA KAA NAYE ILI NISIMAMIE MAISHA YAKE MAPEMA MAANA MAMA YAKE ANASOMA MKOANI HIVYO MTOTO HUBAKI KWA NDUGU .NILIPOMWAMBIA MAMA MTU AKAKATAA.KWA KWELI NAMPENDA SANA MAMA MTOTO WANGU KWANI NAAMINI MALEZI BORA YA MWANANGU YATATIMIA NATAMANI HATA KUROGA.JE NIFANYEJE WANA JAMII?
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,310
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  Dah kuroga ni dhambi.
  Pole sana.
  Tafuta watu wazima waongee na huyo mama kwani muhimu hapo ni mtoto na wote mnapigania ili mtoto aweze pata maisha mazuri,ongeeni mtayamaliza mengi yamefanyika kwa kuongea so usikate tamaa
   
 3. D

  DODOSO REFU Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx.Nitazingatia ushauri wako ila sizani kama atakubali kwani nilikaa naye jana nikamuuliza anataka mtoto awe na future gani akanijibu bora mtoto akae kwao wakati yeye yupo chuo.
   
 4. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,142
  Likes Received: 382
  Trophy Points: 180
  Mapenzi/kupenda kunatoka moyoni,huwezi kumlazimisha mtu akupende wakati moyo wake uko mbali na wewe,unachotakiwa kufanya ni kukubaliana na hiyo hali na kutafuta njia nyingine ya kuhakikisha mwanao anapata malezi bora,swala la kufikiria kurudiana na mama wa mtoto wako achana nalo kabisa kwasababu inavyoonekana utapata magonjwa ya moyo na presha ukirudiana nae kuliko faraja na mapenzi ya dhati,wakati mwingine ktk maisha inabidi kuchukua maamuzi magumu sana hata kama yana maumivu makali,and that is what you are supposed to do brother.kuloga/kuroga sikushauri kabisa ndugu yangu kwasababu given your age you still have many options to make your life worth.
   
 5. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Kakukataa? Sasa ushauriwe nini zaidi y Wewe kusomga mbele na kuangalia namna ya kupata mtoto wako Kama Basi utaweza mlea?


   
 6. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Achana nae japokua roho itakuuma ila sasa zingatia kutafuta pesa tu na mtafutie mtoto shule nzuri mpeleke huko akasome mambo ya kupasuana vichwa yameshapitwa na wakati...kua muangalifu atakuja kukumaliza na magonjwa aisee
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mapenzi hayalazimishwi, tambaa zako
   
 8. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa kama utani mwaka 2005 nilipojikuta nipo ktk mahusiano.Hakika nilimpenda sana huyu msichana,alipata mimba mwaka 2007 na 2008 alijifungua baby boy.Muda wote huo alikuwa akiishi kwao na mtoto alipozaliwa waliishi naye nami nikitoa msaada unaotakiwa.Mwaka jana mama watoto wangu alienda chuo na nikagundua alikuwa na mahusiano na mtu.Nilipohoji akaniambia tuachane nilikataa baada ya muda akalazimisha kwa kufunga simu yake nami nikaona nikae pembeni nimuache aendelee anachofanya.SASA MTOTO ANA MIAKA 4 NATAKA KAA NAYE ILI NISIMAMIE MAISHA YAKE MAPEMA MAANA MAMA YAKE ANASOMA MKOANI HIVYO MTOTO HUBAKI KWA NDUGU .NILIPOMWAMBIA MAMA MTU AKAKATAA.KWA KWELI NAMPENDA SANA MAMA MTOTO WANGU KWANI NAAMINI MALEZI BORA YA MWANANGU YATATIMIA NATAMANI HATA KUROGA.JE NIFANYEJE WANA JAMII? umeona umo nilimo highlight ndio makosa yako, ni inatia wasiwasi kama wewe ni mwanaume au mvulana, chapa lapa tu ulishindwa kazi toka mwanzo, sio unakuja kutulilia humu
   
 9. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa kama utani mwaka 2005 nilipojikuta nipo ktk mahusiano.Hakika nilimpenda sana huyu msichana,alipata mimba mwaka 2007 na 2008 alijifungua baby boy.Muda wote huo alikuwa akiishi kwao na mtoto alipozaliwa waliishi naye nami nikitoa msaada unaotakiwa.Mwaka jana mama watoto wangu alienda chuo na nikagundua alikuwa na mahusiano na mtu.Nilipohoji akaniambia tuachane nilikataa baada ya muda akalazimisha kwa kufunga simu yake nami nikaona nikae pembeni nimuache aendelee anachofanya.SASA MTOTO ANA MIAKA 4 NATAKA KAA NAYE ILI NISIMAMIE MAISHA YAKE MAPEMA MAANA MAMA YAKE ANASOMA MKOANI HIVYO MTOTO HUBAKI KWA NDUGU .NILIPOMWAMBIA MAMA MTU AKAKATAA.KWA KWELI NAMPENDA SANA MAMA MTOTO WANGU KWANI NAAMINI MALEZI BORA YA MWANANGU YATATIMIA NATAMANI HATA KUROGA.JE NIFANYEJE WANA JAMII?

  pole sana, Hauko serious ni haki yake kufanya hivyo.
  1.kama utani....utani na maisha ya mtu? (you are not serious at all)
  2.ulijikuta...hukujiandaa (you are not serious at all)
  3.Akiishi kwao....Kwa nini aishi kwao? ((you are not serious at all)
  4.Msaada.....umeniboa! Mtoto wa kwako unasema msaada siyo matumizi (you are not serious at all)
  5.Mama watoto...Umefunga ndoa, ametokea kwako wakati anakwenda kusoma?(you are not serious at all)
  6.Tuachane......afadhali, si ilikuwa utani (she is serious with life)
  7.Mama kakataa....ulitaka afanyeje? wanawake wana akili acheni kabisa(you are not serious at all)
  8.Unampenda sana...mbona ulimwacha akaishi kwao muda wote? hakupendi(you are not serious at all)
  9.Malezi Bora...unajua hilo sasa hivi? (you are not serious at all)
  10.Kuroga......ili iweje kwanza? you are wrong (you are not serious at all)

  USHAURI: ENDELEA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO KAMA KAWAIDA, ACHANA NAYE, KESHA PATA WAJANJA ZAIDI YAKO
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  kugombea mtoto si jambo jema....

  kaeni mzungume....

  unapotaka mtoto ukae nae unakaa nae vipi? nataka nijue mazingira yako kwanza kabla sijashauri..kumbuka miaka 4 bado mdogo...
   
 11. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  DODOSO REFU, yaani mmekuwa wapenzi muda wote huo toka 2005 hadi 2011, hukufikiria hata siku moja kuhalalisha huo uhusiano wenu kwa kufunga ndoa? Hata km ni kujipanga bado ni muda mrefu sana yaani miaka sita.
  Huyo dada ana haki kwani amehisi hauna future naye kabisa, bira aangalie tu maisha yake na mtoto wake. Siamini km wampenda kwa dhati huyo "mama watoto wako" kwa jinsi unavyojieleza hapa.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  hata ningekuwa mimi ningesepa,im sure huyo dada acngekuacha 2 bila sababu as u knw cc gals mpaka unaamua kuzaa na mtu huwa tupo serious,hata km bahati mbaya tunapenda kuishi na wazazi wenzetu!bt it seems aliona hueleweki ndo maana kaamua kusepa,better tafuta mwingine km maongezi yameshindikana
   
 13. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ilikuwaje hukumuoa tangu awali?

  usilazimishe sana!!!

  Ila kama vipi karoge afu uje utuambie matokeo:tape2:
   
 14. L

  Laaziz Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Paloma umesema la maana, tangu 2005 alikua anasubiri nini asimuoe? bibie kashtuka anatamani ndoa yeye anasera zake za kukaa nae tu walee mtoto, huna chako hapo katafute mwingine. Halafu mtoto umri huo mwache alelewe upande wa mama peleka mahitaji tu ukimchukua utamtesa bure!!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Ilikuwaje mkashindwa kuoana? Pole sana. Husisha wazee, ukakomboe mwanao kama ilivyo desturi za kwao. Uanzie hapo.
   
 16. A

  Aristolicius Senior Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  what unite people in marriage bond is love not the history,it seems what you had with that mama ya mtoto wako ni history tu,She has made a wise decision ya kukwambia hawezi kuishi na wewe kuhusu mtoto mnatakiwa mjadili kuhusu partenity issue ikishindikana ndani ya family level mnaweza kwenda hata court kulimaliza kuna sheria maalamu kwa ajili ya kusolve hizo ishu
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,125
  Trophy Points: 280
  Wewe tuli tu, huyo wife kavamia jiji, atarudi tu. Ila akirudi ndo uhalalishe ndoa sio kutoa mijicho, miaka 6, na mtoto juu bado unamega kisela????!!!!! Shame on u!!!!
   
 18. Ttaba

  Ttaba Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kwanini tangu 2005 aliishi kwao wakat we mzazi mwenzake upo, iliwezekana aliona bado hauko serious na situation iliyopo hata hamkufikiria kuhalalisha ndoa miaka yote hiyo??
  cha msingi husisha wazee kuhusu mtoto
   
Loading...