Nimezaa na nisiyempenda

hivi unavyosema "chukua mwanao, achana na huyo mwanamke tafuta utakaempenda na kukulelea mtoto wako" unamaanisha huyo mtoto ni kikapu - kwamba kikichukuliwa kitanunuliwa kingine au? Unamaanisha jamaa ana uchungu na mapenzi sana na mtoto kuliko mama mzazi wa mtoto? Mi namshauri kama anampenda sana huyo mtoto basi amuache na mamake, yeye asubiri atakayempenda azae nae na wapendane daima. Mshaambiwa muwe mnafanya maamuzi ambayo mnaweza kubeba matokeo yake.
binafsi, mimi siwezi kumuachia mwanangu mtu nisiyempendahuo ulikua ushauri wangu, na wewe umekuja na wakwako, sio mbaya, hatuwezi kuwaza sawa.....
 
Mmh papuchi yake unapenda, ila binti mwenyewe hupendi, na mtoto pia utakuwa humpendi! hujatulia.
 
Mkuu jitahidi umpende na kumuoa huyo mkeo, mtoto atakapokuja kuwa na kujitambua yeye ni Mwana haramu(mtoto nje ya ndoa) itamuuma sana na kuna athari zake. Anyway nna uhakika vijana wengi wanazaa na watu wasiowapenda ndo maana takwimu zinaonyesha wanaume wanashikishwa sana watoto, watoto wa mitaani wanaongezeka, mama/baba wa kambo ishuz(kwa wale ambao hawajafiwa na mzazi), single parenting. Kiufupi kama anatabia nzuri weka ndani ndo wakwako huyo mlee mtoto
 
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.

Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.

Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.

ungekua karibu yangu ungekula makofi kwann ulifanya kama humpendi na hujui umuhimu wa kondomu .....haya lea mtoto wako
 
tatizo mnawadanganya watoto wa watu kuwa mnawapenda lakini siku mambo yakienda mrama ndo mnajifanya hamwapendi... ulifanye mapenzi na mtu usiempenda?
 
daahhh afadhali mkuu maanake nimeishiwa nguvu mwili na roho,ila usirudie tena mkuu maanake ninavyokuaminigi mwenzio usiongee,halafu wanasema mtu huongea kutokana na yaliyomjaa moyoni watu wanaweza wakakugroup kwenye kundi baya,ni hayo tu mkuu.
usiogope mkuu, nimekuelewa sanaa
 
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.

Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.

Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.

kumbe tuko wengi....!
 
mwache huyo mama na mwanae ,oa mwanamke unaempenda akuzalie mtoto umpendae pia.ila kumbuka kuwa malipo ni duniani.utakao wakataa ujanani ipo cku utawatafta uzeeni na wakati huo hawatakuwepo.mungu amsaidie huyo dada apate mume atakayempenda yeye na mwanae.
 
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.

Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.

Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.
Haaaaaaaa, TSN sasa huyo unayempenda yuko wap si ndo ungezaa naye!!
 
Back
Top Bottom