tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
binafsi, mimi siwezi kumuachia mwanangu mtu nisiyempendahuo ulikua ushauri wangu, na wewe umekuja na wakwako, sio mbaya, hatuwezi kuwaza sawa.....hivi unavyosema "chukua mwanao, achana na huyo mwanamke tafuta utakaempenda na kukulelea mtoto wako" unamaanisha huyo mtoto ni kikapu - kwamba kikichukuliwa kitanunuliwa kingine au? Unamaanisha jamaa ana uchungu na mapenzi sana na mtoto kuliko mama mzazi wa mtoto? Mi namshauri kama anampenda sana huyo mtoto basi amuache na mamake, yeye asubiri atakayempenda azae nae na wapendane daima. Mshaambiwa muwe mnafanya maamuzi ambayo mnaweza kubeba matokeo yake.
Kiswahili kwangu tatizo ndugu,naweza kusema nimemzalisha au napo nimekosea.
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.
Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.
nop, me nimesema tu, ....
usiogope mkuu, nimekuelewa sanaadaahhh afadhali mkuu maanake nimeishiwa nguvu mwili na roho,ila usirudie tena mkuu maanake ninavyokuaminigi mwenzio usiongee,halafu wanasema mtu huongea kutokana na yaliyomjaa moyoni watu wanaweza wakakugroup kwenye kundi baya,ni hayo tu mkuu.
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.
Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.
kumbe tuko wengi....!
Umzalishe kwani wewe daktari:what:
Haaaaaaaa, TSN sasa huyo unayempenda yuko wap si ndo ungezaa naye!!Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.
Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.