Nimeweka mchele ndani nasubiri bei ipande

Sina utaalamu mkuu Kwan mpunga pia unaharibika mkuu?
Muhim ni sehem unapohifadhia pasiwe na elements zozote za unyevu nyevu, pawe pa kavu vzr na kuwe na hewa kuepuka joto, binafsi nimewahi kuhifadhi kwa miezi mitano na ulikuwa fresh kabisa.
 
Ungezungusha kwanza huo ulio nao kwa kununua na kuuza hata kwa faida kidogo...kuanzia mwezi Mei had agosti .....then ndiyo unaufungia godown kuanzia August mpaka Nov - Dec
 
Hahah hii kitu siku zote naona hua hutaki kuisikia kabisaa.
Wazazi walihamia huko kwenye mipunga bas Kuna kipindi nilikua nafanya. Ujinga tupu yaani...haizid 400@! Of course haikutupi lakini sio biashara ya watusmart ...labda uchukue tons nyingi lakini sio kuweka vigunia 100!

Chukulia mfano mtu anayekusanya karanga anauza. Huyu hata ujifunge kibwebwe namma gani humfikii..achana na karanga. Wewe chukua tu samaki Uza kisomi .jumlisha faida zako kwa huo muda aloweka mpunga hakuoni hata kwa mbali!...

Kuna biashara inabidi ufanye kwa volume Nene Sana ndo faida utaona!lakini sio gunia 20 upambanie ongezeko la 300!😏
 
Hivi mchele ulivyo mwingi mwaka huu wakulima hawajui wapeleke wapi mpunga wao wewe una uhifadhi fuata ushauri wa wadau hapo juu usije ukajikuta umetoa mzigo kwa wengine umejitwisha wewe bila kujua, uza mkuu
 
Wazaz walihamia huko kwenye mipunga bas Kuna kipindi nilikua nafanya. Ujinga tupu yaani...haizid 400@! Of course haikutupi lakini sio biashara ya watusmart ...labda uchukue tons nyingi lakini sio kuweka vigunia 100!
Chukulia mfano mtu anayekusanya karanga anauza. Huyu hata ujifunge kibwebwe namma gani humfikii..achana na karanga. Wewe chukua tu samaki Uza kisomi .jumlisha faida zako kwa huo muda aloweka mpunga hakuoni hata kwa mbali!...
Kuna biashara inabidi ufanye kwa volume Nene Sana ndo faida utaona!lakini sio gunia 20 upambanie ongezeko la 300![emoji57]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi mchele ulivyo mwingi mwaka huu wakulima hawajui wapeleke wapi mpunga wao wewe una uhifadhi fuata ushauri wa wadau hapo juu usije ukajikuta umetoa mzigo kwa wengine umejitwisha wewe bila kujua, uza mkuu
Asante kwa ushauri mzuri mkuu.
 
Wazaz walihamia huko kwenye mipunga bas Kuna kipindi nilikua nafanya. Ujinga tupu yaani...haizid 400@! Of course haikutupi lakini sio biashara ya watusmart ...labda uchukue tons nyingi lakini sio kuweka vigunia 100!
Chukulia mfano mtu anayekusanya karanga anauza. Huyu hata ujifunge kibwebwe namma gani humfikii..achana na karanga. Wewe chukua tu samaki Uza kisomi .jumlisha faida zako kwa huo muda aloweka mpunga hakuoni hata kwa mbali!...
Kuna biashara inabidi ufanye kwa volume Nene Sana ndo faida utaona!lakini sio gunia 20 upambanie ongezeko la 300![emoji57]
Hapo kwny karanga nakubali kabisa aisee,kuna jamaa namjua ana ma godown kabisa ya hizo mambo za Karanga na ana agiza mpk huko Zambia jamaa yuko njema kiukweli.
 
Mie Kama ntataka kufanya nafaka iwe kuexport! In a huge volume!
 
Hapo kwny karanga nakubali kabisa aisee,kuna jamaa namjua ana ma godown kabisa ya hizo mambo za Karanga na ana agiza mpk huko Zambia jamaa yuko njema kiukweli.
Mie naipendaga Sana kukutana na watu waliofanikiwa..na sioni haya kujua wamefikaje...Kuna mama yuko ifakara yeye anadeal na karanga...!mh nakosa hata nguvu za kuandika!
 
Hapo kwny karanga nakubali kabisa aisee,kuna jamaa namjua ana ma godown kabisa ya hizo mambo za Karanga na ana agiza mpk huko Zambia jamaa yuko njema kiukweli.
Karanga huwa zinaharibika haraka mkuu
 
Au uongeze thamani uwe wali,uza bei ya chini kwa sahani kuliko washindani wote😂😂😂.
Mwaka huu mchele labda upande sh 100 tu,,uko mwingi muno
 
Daahh pole mkuu bishara ya kuhifadhi mazao huwa ni kamari tu.
 
Mwaka huu kama ulinunua mchele kwa lengo la kuuza kwa faida umenoa bro..... Mchele ni mwingi sana na bado mwingine unakuja
 
Back
Top Bottom