Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,370
- 39,186
Kweli sasa najua niko addicted na computer.. pembeni kuna sahani ya wali na njegere, na laptop; wali haukukolea chumvi nimeenda jikoni nimechukua chumvi kwenye kidubwasha chake cha vitundu.. sina hila wala lile nikaanza kunyunyiza laptop!
Yaani...
Yaani...