El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,070
- 6,465
Nimegundua Mwanetu wewe ni wakishua.Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah nimelia sana aiseee iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiii naombeni kitambaa nifute machozi mazafaka
You’re on your own mission. Mungu Alikuleta duniani kwa lengo fulani mahsusi.Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah nimelia sana aiseee iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiii naombeni kitambaa nifute machozi mazafaka
Ungefaulu usingeolewaMimi nimeshindwa pia nimeona bora tu nikaolewe🤣
Ndio😞Ungefaulu usingeolewa
Polee mkuuwalinipiga expired wale nyumbu kilanga chote kwisha.nimemwachia Seran
We injili yako haielewekiCharred beyond recognition. Maisha haya kweli ni ubatili mtupu. Kilo 320 zimeishia kwenye kimfuko tu cha kubebwa kwa mkono mmoja.
View attachment 3682091
Kama hujaishiwa gesi huwezi kuielewa injili yangu. Njoo nikujazie gesi kwanza 😂We injili yako haieleweki
Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah nimelia sana aiseee iiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiii naombeni kitambaa nifute machozi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
mbona sisi wachaga tunaweza.Mali tayali zishapotea.Generation wealthy kwa watu weusi ni ngumu