Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 4,436
- 4,151
Wakuu upepo wa mageuzi ndo umeshanisukumia barazani ninapoanza mwaka mpya wa 2010. Bais nawatakieni kila la heri na fanaka katika mwaka huu na haswa kutimia kwa ndoto zenu kuu (na zangu pia) kama nilivyojaliwa kuzideku kabla sijatia guu kikamilifu.