Nimewamithi..

Nimewamithi..

Umetumiss aje wakati wewe mgeni
ID yako ya zamani ni nani vile:smile-big:
 
Hata wewe wamekumiss kwa ID yako ya zamani.
 
Hata wewe wamekumiss kwa ID yako ya zamani.

Mi nilijua ni ID yako mpya, maana nasikia ulikuwa kifungoni.
Anyways, how was your vacation, Lizzy?
 
Last edited by a moderator:
Hata nami niko shwanga,
Cjui shem hajambo?
Mwambie amesahau vest yake kwangu jana ucku,aifuate maana nataka ondoka mie.
Ila nadhani mpya wewe Miss Bantu.

"like".. Madame B nimekuona jana kwenye maandamano ya mei mosi...na tishet yako ya TUICO
 
Last edited by a moderator:
Sijui umenifananisha au we unaitwaga nani vile?
 
Hata nami niko shwanga,
Cjui shem hajambo?
Mwambie amesahau vest yake kwangu jana ucku,aifuate maana nataka ondoka mie.
Ila nadhani mpya wewe Miss Bantu.

ennhhh tena wewe ndo nakutafuta sana, yani siku nkikukamata sijui utaliaje... hyo verst labda kaona unashida nayo sana akakuachia by the way hawezi kuifata tena waweza vaa tu
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nilikumiss Hu...y baby, welcome back!
 
ennhhh tena wewe ndo nakutafuta sana, yani siku nkikukamata sijui utaliaje... hyo verst labda kaona unashida nayo sana akakuachia by the way hawezi kuifata tena waweza vaa tu
Bi mkubwa ahaaaaa teeena! Mbona huyo bi mdogo wangu unamfahamu kitambo? Naona unadai talaka kwa nguvu.
 
Bi mkubwa ahaaaaa teeena! Mbona huyo bi mdogo wangu unamfahamu kitambo? Naona unadai talaka kwa nguvu.
Sunshow mpe bwana talaka, kwanza mie ananibanabana tu.
Halafu jana hakulala chumbani kwake alipanga mito kitandani na kuifunika na shuka.
Mfukuze bwana tujilie vyetu..!!
We Miss Bantu tulia utalimwa talaka. Ohoo...!!
 
Last edited by a moderator:
"like".. Madame B nimekuona jana kwenye maandamano ya mei mosi...na tishet yako ya TUICO

We BAGAH! Umeniona wapi?
Jana nilikuwa Dubai nafanya shopping ya lec wig na kope.
Labda umemuona pacha wangu!,
we c umesema Tv yako kavunja mchuchu?
 
Last edited by a moderator:
Miss Bantu una mwandiko kama wa Husninyo.

Msalimie kama ni pacha wako.... Alituaga jana anaenda kuresti in piis.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom