Nimewamithi..

Sunshow mpe bwana talaka, kwanza mie ananibanabana tu.
Halafu jana hakulala chumbani kwake alipanga mito kitandani na kuifunika na shuka.
Mfukuze bwana tujilie vyetu..!!
We Miss Bantu tulia utalimwa talaka. Ohoo...!!
Madame B ,Sweetie umeona eeee, huyu miss katukosea heshima na dawa yake ni talaka tatu kwa mpigo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom