Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Honey Faith yuko kwenye nyumba yake ndogo hapa niko na bi mkubwa kwa sasa tunapata chakula miss chagga yeye yuko kwake leo si zamu yake ni ya bi mkubwa Dena Amsi si unajua nilimmiss sana kwa hiyo miss chagga anapumzika leo
cc kiwatengu na Tized na sungura1980, mwekundu, Ntuzu, mwallu
Duh!kwa hiyo wanajijua kuwa wanashere bwana? @MrRocky.Pole sana bi mdogo kwa madaha yote kumbe umevamia ndoa ya watu missChagga.
Hakuna cha limbwata mwallu na yeye anajua kabisa kuwa yeye ni nyumba ndogo na nyumba kubwa Dena Amsi yupo hana mashaka na hilo kabisa
tatizo kuna viwatu vina mdomo hapa haswa kiwatengu na Tized hawataki kuona ndoa yangu inaimarika aise ni kunipiga vita tuu kila siku hata nikichepuka wanakuja kutangaza humu
Anajua sana kuwa nyumba kubwa Dena Amsi habanduki na ndo maana miss chagga alikubaliana na hilo
Tafadhali muongeze kiwatengu kinywaji cha kutosha.... hao wengine apo waruke.. ata Mr Rocky mruke. miss chagga mpe, Ntuzu mpe, mwallu anatumia kinywaji cha gharama ivo? Mruke. sungura1980 mpeee na uyo nanii apo mpe janeth1
Hiyo siyo haki kabisa...kwa nini nirukwe?
Karibu sana angalao tufahamiane, Mr Rocky alishakukukabidhi kwangu, Shahidi ni Ndugu mwandishi kiwatengu na mke wake huyu mpya.. anaitwa nani tena vileee.. naniiiii.... hewala miss chagga.
Nimekumisi pia Dena Amsi, I ve dreaming of this day.
Ntapitiamo tumahidi tuwili nkachemshe leo.. nna hamu mieeee!!!
Usijali chem... nanii mpe na huyu. Asije kuninyima mdogo wake buree!
Tafadhali mfungie vizuri SATO wa foil ataondoka nayo. Afu unletee bili yangu.
Asante.
Hiyo siyo haki kabisa...kwa nini nirukwe?
Mna gundu....wote na kaka yako mmerukwa
kiwatengu mbona mbea sana wewe
Karibu my wife wangu kipenzi cha roho yangu nilikumissije aise
Yaani hapa nina furaha debe kukuona tena my wife wangu
Achana na akina kiwatengu na mwekundu na Tized na Ntuzu, mwallu, Khantwe, Honey Faith, miss chagga, Mentor, Mndengereko hawana sera hao
Watakuambia uwongo mwingi ila ni mimi na wewe tuu mpaka kufa
Nakupenda sana my dear wife wangu
Tafadhali muongeze kiwatengu kinywaji cha kutosha.... hao wengine apo waruke.. ata Mr Rocky mruke. miss chagga mpe, Ntuzu mpe, mwallu anatumia kinywaji cha gharama ivo? Mruke. sungura1980 mpeee na uyo nanii apo mpe janeth1
Tafadhali muongeze kiwatengu kinywaji cha kutosha.... hao wengine apo waruke.. ata Mr Rocky mruke. miss chagga mpe, Ntuzu mpe, mwallu anatumia kinywaji cha gharama ivo? Mruke. sungura1980 mpeee na uyo nanii apo mpe janeth1
hata mi shahidi ulisema mwenyewe kwamba dena amekukimbia so umeamua kuopoa muke mupya saivi unakana