Nimewamiss mno watu wa humu

Nimewamiss mno watu wa humu

Karibu sana jukwaani binti, pia nikukaribishe kanisani kwetu hapa St Andrew kesho kutakuwa na ibada maalumu, baada ya ibada kutakuwa na karamu ya bwana, nyama choma, soseji, pilau na kabia kwa mbali vitakuwepo bure kabisa.
 
Hakikisha 9D unatoka maana utoke ustoke policcm na wazenj na waganda wanakufata hata ukiwa umelala tu home watakuua.
 
This time be humble acha mastory yako ya nyegezi

Bado tunaombeleza na tuna jambo letu
9dec.
 
Marry marry yohana hatiame bana umerdi..
Nilipata habari kwa athanasi ameniambia kila kutu kuhusu wewe...

Nimekumiss pia
 
Vishu Mtata hakikisha Huyu mtoto anarudi Chuo ht kwa mabavu.
😂😂😂😂😂😂😂Alafu humu kuna siku tutapigana wakuu..

Yaani live live tutazipanga humu jf
Chuo wame shift tarehe mpaka 24 hv acha tule bata kwanza..

Alafu mama kajua kuongeza boom aiseeeee
 
Back
Top Bottom